International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Bunge la Zambia limemsimamisha kazi Waziri wa Jimbo la Lusaka, Bowman Lusambo kwa muda wa mwezi mmoja baada ya kumchapa kibao mbunge Chishimba Kambwili wakiwa bungeni. Spika wa Bunge hilo amesema...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nchi wanachama wa nchi za Afrika leo tarehe 21.3.2018 wanakutana jijini Kigali Rwanda katika mkutano uliopewa jina la Azimio la Kigali, (Kigali declaration) ni mkutano mkubwa sana wa kiuchumi na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Upinzani nchini Kosovo jana ulitumia mabomu ya kutoa machozi kuvuruga kura bungeni kuhusiana na uwekaji wa alama za mpaka na Montenegro. Wabunge walilazimika kuondolewa kutoka jengo la bunge...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge Analytica, ameibuka na kudai kwamba wamefanya makosa. Analytica inatuhumiwa kuingilia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Moving Beyond “Capitalism” by John Kay on 21 March 2018 @JohnKayFT John Kay I wish we would stop using the word Capitalism. It is a 19th-century term, derived from 19th-century economic...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Self-driving Uber kills Arizona woman in first fatal crash involving pedestrian Tempe police said car was in autonomous mode at the time of the crash and that the vehicle hit a woman who later...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Siku ya jumanne asubuhi palitokea shambulizi la risasi katika shule ya Great mills high school inayopatikana Maryland nchini marekani. Polisi wa jimbo la Maryland amesema kijana aliyetambulika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yy atazitafuta na kunitumia bongo mm nna soko zuri
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Rais Htin Kyaw wa Myanmar amejiuzulu ghafla leo, akisema anataka kupumzika kutoka katika kazi yake hiyo, kwa mujibu wa taarifa aliyoiweka katika ukurasa wake wa Facebook. Kiongozi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Maafisa wamesema watu wasiopungua 25 wameuawa kwenye mlipuko wa bomu na wengine 18 kujetruhiwa katika mlipuko wa bomu uliofanyika leo mjini Kabul Hata hivyo idadi ya majeruhi inaweza kupanda kwa...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Sudan, faru pekee wa kiume aina ya Northern White Rhino (Faru Weupe wa Kaskazini) aliyekuwa amesalia hai duniani, amekufa akiwa na miaka 45, shirika la Ol Pejeta limetangaza. Faru huyo alikuwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kamati ya Bunge la Uingereza limemtaka Mkurugenzi wa Facebook, Mark Zuckerberg afike mbele yake ili kujibu maswali kuhusu utumiaji usio halali wa taarifa kutoka katika mtandao wake katika uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kueleweshwa, mara nyingi nasikia nchi za magharibi (WEST) na nchi za mashariki (EAST). Swali hizi West na East ni geographical? Ninavyofahamu lazima kuwe na reference point ndipo ueleze...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Pope tells 3 new bishops: no politicking, no high society VATICAN CITY – Pope Francis is cautioning bishops to avoid politicking, business and high society. He said bishops should "abandon the...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa mpango wake uliokuwa ukisubiriwa kwa muda mrefu wa kupambana na matumizi ya madawa ya kutuliza maumivu kupita kiasi Jumatatu . Katika hotuba kwenye mkutano...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Urusi kuwatimua Wanadiplomasia 23 wa Uingereza ikiwa ni majibu kwa Serikali ya Uingereza iliyowapa wiki 1 Wanadiplomasia wa Urusi kuondoka nchini kwao baada ya kushindwa kutoa ushirikiano katika...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Hii ni breaking news! Mike Pompeo ndio atakuwa Secretary of State mpya. Gina Haspel kuwa CIA director! Rais wa Marekani, Donald Trump amemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje (Secretary of State)...
4 Reactions
154 Replies
17K Views
Naibu mkurugenzi wa zamani katika shirika la ujasusi nchini Marekani FBI Andrew McCabe ametoa barua kuhusu mazungumzo aliyokuwa nayo na rais wa Marekani Donald Trump kwa kamati inayochunguza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Russian President Vladimir Putin won re-election with more than 73 percent of the vote, according to exit poll data. The Russian strongman received at least 73.9 percent of the vote, according to...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametangaza Mei 17 mwaka huu kuwa tarehe ya kufanyika kura ya maoni kuhusu mageuzi ya katiba ambayo huenda yakamfanya kusalia madarakani hadi mwaka 2034...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom