SERIKALI ya Urusi imeionya Uingereza kuacha kulitisha taifa lenye nguvu ya nyuklia.
Badala yake imemtaka Waziri Mkuu wa Uingereza, awasilishe sampuli ya sumu ya Novichok iliyotumika kumshambulia...
Hatimaye Mugabe apiga picha na mbaya wake huku mkewe amebebeshwa kitabu 'Nothing left to steal'. Mwanaume huyo ni Mzilikazi WaAfrika ambaye alipigwa marufuku kuingia Zimbabwe kipindi cha utawala...
Mvulana wa miaka tisa nchini Marekani anadaiwa kumuua dadake wa miaka 13 kwa kumpiga risasi kichwani baada ya mzozo kuhusu kifaa cha kudhibiti mchezo wa video wa kompyuta, polisi wanasema...
Vyombo vya usalama nchini uingereza vimegundua kuwa mrusi mwingine ambaye hakuwa kwenye good terms na Russia ameuawa kwa kunyongwa.
Nikolai Glushkov amekutwa na mauti nyumbani kwake uingereza...
Mvulana wa miaka tisa nchini Marekani anadaiwa kumuua dadake wa miaka 13 kwa kumpiga risasi kichwani baada ya mzozo kuhusu kifaa cha kudhibiti mchezo wa video wa kompyuta, polisi wanasema. Mvulana...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameibuka mshindi kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine ujao wa miaka sita baada ya kujipatia ushindi mkubwa.Ushindi huo ulitarajiwa katika upigaji kura...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesema leo kuwa uchaguzi wa kwanza wa rais na bunge nchini humo tangu kumalizika kwa utawala wa muda mrefu wa Robert Mugabe utafanyika mwezi Julai. Ameahidi...
Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UNHRC) imesema bado Raia wa Burundi wanaikimbia nchi hiyo wakihofia kukamatwa, kuteswa na kuuawa kutokana na Serikali kutofanya mabadiliko yoyote...
Update:
Russia nao wamewafukuza maofisa ubalozi 23 wa Uingereza na wamekuwa "persona non grata" ikimaanisha kwamba ni watu wasokubaliwa au wasokaribishwa tena nchini humo.
Hii ni kwa mujibu wa...
Prof Stephen Hawking
Prof Stephen Hawking, mwanafizikia maarufu duniani, amefariki dunia akiwa na miaka 76, familia yake imetangaza.
Mwingereza huyo alifahamika sana kwa kazi yake ya kisayansi...
Kipindi cha mwaka mmoja wa utawala wa Rais Donald Trump maofisa wengi waandamizi wamefukuzwa na wengine wamejiuzulu kutoka kwenye serikali ya Rais huyo wa Marekani kwa wakati tofauti, na wengi wa...
Mkurugenzi wa FBI aliyefutwa kazi 'amwaga mtama' kuhusu mazungumzo na Trump
Naibu mkurugenzi wa zamani katika shirika la ujasusi nchini Marekani FBI Andrew McCabe ametoa barua kuhusu mazungumzo...
Rais wa kike pekee barani Afrika, rais wa Mauritius, Ameenah Gurib-Fakim amekataa kuachia ngazi kufuatia kashfa ya matumizi mabaya ya fedha, siku moja baada ya kutangazwa kwamba atang'atuka...
How Social Democrats Can Bring Real Change
by Neal Lawson on 13 March 2018
Neal Lawson
How do social democrats change things? The traditional method has been to win elections, inhabit the...
May 2013, Edward Snowden anaondoka visiwa vya Hawaii na kwenda Hong Kong, ambapo June 2013 alitoa maelfu ya nyaraka za NSA zilizowekwa rasmi kwa waandishi wa habari kuonyesha Dunia na walimwengu...
Takribani siku kadhaa zilizopita tulisikia uingereza akituhumu urusi dhidi ya mauaji ya jasusi wake aliyekuwa akiiishi uingereza
Leo hii uingereza anazitaka nchi zinazoshiriki mashindano ya...
Uganda: wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nkumba kilichopo mjini Entebbe, wamegoma kuingia madarasani, baada ya kutokuwepo kuku kwa siku tatu mfululizo.
Mgomo huo ulioanza leo, umeridhiwa na idadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.