Natafuta patner aliyeko uk tufanye biashara ya simu used

Natafuta patner aliyeko uk tufanye biashara ya simu used

wabongo hamuaminiki ndugu zenu wakiwa ulaya tu wanaogopa kufanya biashara na mliokuwa nyumbana jinsi mnavyowatia ndimu leo mtu baki akutumie simu.
 
Back
Top Bottom