Afisa wa polisi nchini Marekani amempiga risasi na kumuua mtu ambaye hakuwa na silaha aliyekuwa akitembea barabarani huku suruali yake ikiwa miguuni.
Familia yake inasema mauaji hayo yanaonekana...
Ukweli ni kwamba USA imekula kona kwenye uwanja wa kijeshi mbele ya Korea ya kaskazini na kukimbilia uwanja wa kiuchumi kuiwekea vikwazo vya kiuchumi korea ya kaskazini!!! Vitisho viligonga...
Kasisi mmoja nchini Msumbiji amejipata mikononi mwa polisi baada ya kujaribu kumfufua mwanamume mmoja eneo la kati la Msumbiji bila mafanikio
Kasisi huyo alidai kuwa roho mtakatifu alimwambia...
Chama tawala nchini #Ethiopia EPRDF kimemchagua Dkt. Abiy Ahmed kuwa Mwenyekiti wake na hivyo kwa mujibu wa Ibara ya 73 ya Katiba ya nchi hiyo inamuidhinisha kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
Dkt...
Tiangong-1: China space station may fall to Earth 'in days'
27 March 2018
Share this with Facebook
Share this with Twitter
Share this with Messenger
Share this with Email
Share
Image...
Maofisa wa Japan wanahisi Rais wa North Korea Kim Jong un yupo Beijing.Kituo cha habari cha kyodo cha nchini Japan kinaripoti ya kwamba Treni iliyobeba maofisa wa North Korea imewasili Beijing...
Kwa ufupi
Mpaka sasa maofisa 20 wa Kitengo cha Usalama wa Taifa (NIA) ama wako mahakamani au wanakabiliwa na mashtaka kuhusiana na kifo cha mwanaharakati ambaye alikamatwa wakati wa maandamano...
Muigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniels anasema ametishiwa maisha yake katika jaribio la kumfanya akae kimya kuhusu uhusiano wake na rais wa Marekani Donald Trump, katika mahojiano ya kina na...
Banjul, Gambia. Katika utawala wa Rais Yahya Jammeh ilikuwa kawaida kusikia mwanaharakati au mwanahabari au kiongozi fulani wa siasa kauawa na watu wasiojulikana na haukufanyika msako wala...
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May ameishutumu vikali Urusi kwa kuingilia uchaguzi wa nchi na kuendesha uhalifu wa mitandao.
Akiongea mjini London May alisema kuwa serikali ya Vladimir Putin...
Kasisi mmoja nchini Msumbiji amejipata mikononi mwa polisi baada ya kujaribu kumfufua mwanamume mmoja eneo la kati la Msumbiji bila mafanikio. Kasisi huyo alidai kuwa roho mtakatifu alimwambia...
Mtandao wa Twitter waungana na Google pamoja na washindani wake Facebook kupiga marufuku matangazo wa sarafu ya mtandaoni ya Bitcoin.
Hatua hiyo imechukuliwa kutokana na kuibuka kwa wimbi kubwa...
Radio host Howard Stern says his advice for President Trump is to “get the *** out” and let Vice President Mike Pence take over.
“I was watching the news. They said that the president calls his...
Pengine huu ni mwaka mbaya zaidi kwa Bwana Mark Zuckerberg; Mmiliki wa mtandao maarufu wa Facebook.
Huku skendo ya Cambridge Analytica ikiwa haijapoa vizuri, limeibuka jambo jipya kuhusu taarifa...
BEIJING/SEOUL (Reuters) - A train believed to be carrying a senior North Korean delegation left the Chinese capital on Tuesday following a dramatic whirlwind visit that some reports said included...
MAREKANI: Jimbo la California pamoja na majimbo mengine yameahidi kupinga/kuzuia Serikali kuuliza maswali kuhusu uraia wakati wa Sensa ya watu inayotarajiwa kufanyika mwaka 2020.
Wawakilishi wa...
natamani aanze pia kutoa amri/maagizo kama hayo kwa nchi za dunia ya tatu maana dalili zinaonyesha kuna wafungwa/kutakuwa na wafungwa wengi wa kisiasa ktk jela zetu.
MAREKANI: Rais Trump ametoa amri ya kufukuzwa kwa wanadiplomasia 60 wa Kirusi, kufuatia Urusi kuhusishwa na shambulio la sumu kwa Jasusi wa zamani huko Uingereza
Tayari nchi za kadhaa za Ulaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.