Kwa hivyo hapo unafikiri katoa amri to another sovereign state na ikafanyika?
natamani aanze pia kutoa amri/maagizo kama hayo kwa nchi za dunia ya tatu maana dalili zinaonyesha kuna wafungwa/kutakuwa na wafungwa wengi wa kisiasa ktk jela zetu.
Sio amri, ni mtazamo wake tu. States zake tu zinamburuta mahakamani, ataweza kutoa amri kwa mamlaka ya nchi nyingine?