Trump na Gharama za ujenzi wa Ukuta

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,736
a0c65fbe0252225b69ceefcb44952254.jpg

NB:ukifatilia sana misimamo ya trump,ni kama inataka kushabihiana na misimamo ya kiongozi fulani EA.
 
Out of topic.

Trump ana utajiri was approximately 3.4Billion USD . ukuta unacost between 12 and 15 Billion USD.
Kuna watu humu walisema US government ikigoma kutoa fedha,Trump yuko tayari kutoa zake.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
a0c65fbe0252225b69ceefcb44952254.jpg

NB:ukifatilia sana misimamo ya trump,ni kama inataka kushabihiana na misimamo ya kiongozi fulani EA.
Si useme tu Pombe makufuli?
Hawa wote ni waropokaji. Kujionyesha na ulimbukeni wa madaraka ndio vimewajaa vichwani.

Ohhh i wish i was IGP ohhh Msichezewwwe! Ohh Wekkka ndaaani!
Halafu kibaya zaidi walioko chini yake wote wanaogopa hata kumwambia kuwa ananyea nchi.
Badala yake na wao wanaanza kuropoka ovyo.
Tazama na haka katoto kalikoiba mitihani baada ya kupata Division 0. Kaitwako makonda. Kanamuiga uropokaji.

Yaani Nchi hii imekuwa km Nolywood.
Kila mtu mbabe.
Mbio za namna hii hufa haraka sana.
Ngoja tusubiri mwaka mwingine tuone.
Upuuzi wa hawa malimbukeni shida wanaipata mpk Njiwa.
Njaa kila.kona

Dah...

Huyu anadhani atakuwa Rais wa miaka 50 eti?
Usiogope kitu we sema tu.
Sura yake na Roho yake vinafanana.
Na Alaaniwe milele kwa kuonea wanyonge.

Sema amen Kadoda, au unaogopa Kudakwa km manji?
 
Out of topic.

Trump ana utajiri was approximately 3.4Billion USD . ukuta unacost between 12 and 15 Billion USD.
Kuna watu humu walisema US government ikigoma kutoa fedha,Trump yuko tayari kutoa zake.
Halafu anavyopenda kujisifu kwa utajiri! Utajiri wenyewe hawezi kujenga hata huo nusu ya ukuta. Usanii mtupu. Matajiri wa kweli hawajitangazii.
 
Trump yuko sahihi.
Makampuni mengi ya kimarekani yalikua yakiwapiga wamarekani kupitia mikataba yao na serikali kwa gharama za walipa kodi wa Marekani.

Serikali zilizopita zilikua hazihoji, wao wakiingia mkataba na labda Lockheed Martin kutengeneza figher jets, bill itakayoletwa na Lockheed ndio serikali italipa bila kuhoji.

Nakumbuka Obama aliingia mkataba na Boeing kutengeneza Air Force One kwa Dollar Billion 3. Trump alipoingia akauliza hyo bei wamaipataje, wakaruka hatua 100 kua sio kweli ila Obama alikubali kulipa.

Trump lazima apate upinzani mkubwa hasa toka kwa hayo makampuni yaliyokua yanaipiga serikali. Ni sawa na Magu,wale wote waliokua wanapeleka invoice hewa serikalini hawawezi kumuunga mkono.
 
Si useme tu Pombe makufuli?
Hawa wote ni waropokaji. Kujionyesha na ulimbukeni wa madaraka ndio vimewajaa vichwani.

Ohhh i wish i was IGP ohhh Msichezewwwe! Ohh Wekkka ndaaani!
Halafu kibaya zaidi walioko chini yake wote wanaogopa hata kumwambia kuwa ananyea nchi.
Badala yake na wao wanaanza kuropoka ovyo.
Tazama na haka katoto kalikoiba mitihani baada ya kupata Division 0. Kaitwako makonda. Kanamuiga uropokaji.

Yaani Nchi hii imekuwa km Nolywood.
Kila mtu mbabe.
Mbio za namna hii hufa haraka sana.
Ngoja tusubiri mwaka mwingine tuone.
Upuuzi wa hawa malimbukeni shida wanaipata mpk Njiwa.
Njaa kila.kona

Dah...

Huyu anadhani atakuwa Rais wa miaka 50 eti?
Usiogope kitu we sema tu.
Sura yake na Roho yake vinafanana.
Na Alaaniwe milele kwa kuonea wanyonge.

Sema amen Kadoda, au unaogopa Kudakwa km manji?
Ulaaniwe kwanza wewe pamoja na baba yako mbowe.
KRUMA WEWE
 
Back
Top Bottom