TRUMP’S CIA CHIEF IN SECRET MEETING WITH NORTH KOREAN LEADER

Acha waingizwe king ndo watajuta, huyu NK naye sijui ni fala au nini? Kama alishatengeneza Manuclear yake anatafuta suluhu ya nini wakati anajua kabisa sharti la kwanza atakalopewa na Marekani katika mazungumzo hayo ni kumtaka either aharibu silaha zake za Nuclear or azipeleke kwa Mchina au Mrussi kam ilivyotokea kwa Assad. Assad alipotishiwa kupigwa na USA kipindi cha Obama alikubali kuzipeleka German mitungi yake ili kuua so.
 
1063944842.jpg

Yes: confirmed (ila ni wakati bado akiwa mkuu wa CIA)
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni

Korea Sasa Kala Ndoano Mwenyewe Bila Chambo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom