Marekani: Bill Cosby akutwa na hatia ya makosa ya unyanyasaji wa kijinsia(sexual assault)

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Mchekeshaji wa Marekani, Bill Cosby(80) amekutwa na hayia ya makosa matatu ya unyanyasaji wa kijinsia.

Cosby amekuwa akituhumiwa kumnywesha madawa na kisha kumfanyia vitendo hivyo aliyekuwa mchezaji wa mpira wa kikapu, Andrea Constad mnamo mwaka 2004.

Siku ya Hukumu ambayo itatolewa na Jaji Steven O'Neill bado haijapangwa lakini kuna uwezekano mkubwa wa Bw. Cosby kuhukumiwa miaka 10 kwa kila kosa. Hivi sasa yuko nje kwa dhamana.

Cosby anayejulikana zaidi kwa kuwa mwigizaji nyota kwenye tamthilia ya The Cosby Show alikataa mashtaka hayo na kumwita tapeli.
=======

US comedian Bill Cosby has been found guilty of three counts of sexual assault.

The actor has been on trial for drugging and assaulting ex-basketball player Andrea Constand in 2004.

Cosby, 80, had denied Ms Constand's claims, with his lawyer branding her a "con artist".

It was the second time the actor had stood trial for the allegations, after an earlier jury failed to reach a verdict in June 2017.

Cosby is best known for starring in the 1980s TV series The Cosby Show.

The 80-year-old comedian faces up to 10 years in prison on each count, but Cosby is likely to serve them concurrently. A sentencing hearing with Judge Steven O'Neill has not yet been scheduled, and Cosby remains out on bail.
 
Dah huyu jamaa wamemng'ang'ania balaa. Kama Michael Jackson tu, kuna conspiracy kuhusu blacks kuwa wakiwa na mafanikio makubwa basi kesi mfululizo zitawaandama, Tyson pia.
 
Marekani wakumbwa na mlipuko kwenye uchenjuaji mafuta angalia kupitia link hii hapa chini.

Explosion at oil refinery leaves multiple injured in Wisconsin
5ae20d5adda4c83a438b45b4.jpg

5ae21ff4fc7e937e138b45d8.jpg

Multiple explosions at Wisconsin oil refinery, 10 confirmed injured (WATCH LIVE)
 
Dah huyu jamaa wamemng'ang'ania balaa. Kama Michael Jackson tu, kuna conspiracy kuhusu blacks kuwa wakiwa na mafanikio makubwa basi kesi mfululizo zitawaandama, Tyson pia.
Wana kesi za Kujibu. Siyo mashtaka ya uongo
 
Wameshindwa kuelewa Kiingereza.

Sexual Assault sio unyanyasaji wa kijinsia.

Sexual Harrasment ndio unyanyasaji wa kijinsia, ambao sio jinai.

Alichofanya Cosby ni shambulio, assault!

Kumuwekea mtu dawa ya kumlegeza ili umuingilia ni kama rape, lakini wanaita sexual assault, SHAMBULIO LA UGONI.
 
Hivi hapa ushahidi unaakaje!?..maana ni siku nyingi..au kuelezea urefu na unene wa uume wa mtuhumiwa na wingi wa mashuhuda unatosha!?

They didnt need such evidence.

Cosby alikubali toka mwanzo kwamba kulala alimlala lakini kwa hiari. Mwanamke anadai alipewa vidonge akalegea, baadae akaamshwa kesha malizwa.

The most damning evidence of all ni kwamba Cosby alikiri kwa mama yake msichana siku mbili tatu baada ya tukio kwamba alimlala, na alipoulizwa zaidi ya kumlala ulimpa nini binti yangu, Cosby akajibu BENADRYL, ambayo ni dawa ya allergy, mafua, kichefuchefu n.k.

Kwa hiyo umemlala, umempa vidonge, ume settle civil case ya dada huyu huyu kwa dola milioni 3, halafu kuna foleni ya wanawake wanaosema mahakamani kwamba ndio tabia yake huyu mzee. Kupona haikuwa rahisi.
 
They didnt need such evidence.

Cosby alikubali toka mwanzo kwamba kulala alimlala lakini kwa hiari. Mwanamke anadai alipewa vidonge akalegea, baadae akaamshwa kesha malizwa.kama alikubali iweje anapinga tena!??..kuna ushahidi gani kwamba alimwambia hayo mama mtu?..na kwa nini wabishe kwamba hawakukubaliana!?..nani ana uhakika kwamba hawakukubaliana!?

The most damning evidence of all ni kwamba Cosby alikiri kwa mama yake msichana siku mbili tatu baada ya tukio kwamba alimlala, na alipoulizwa zaidi ya kumlala ulimpa nini binti yangu, Cosby akajibu BENADRYL, ambayo ni dawa ya allergy, mafua, kichefuchefu n.k.

Kwa hiyo umemlala, umempa vidonge, ume settle civil case ya dada huyu huyu kwa dola milioni 3, halafu kuna foleni ya wanawake ulio lala nao wanaosema mahakamani ndio tabia yake huyu mzee. Kupona haikuwa rahisi.
 
Back
Top Bottom