Hongera Marais/Viongozi wa N/S Korea

Hongera Marais/Viongozi wa N/S Korea

sekindunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
335
Reaction score
232
Katika zama hizi za Siasa za Uchumi imekuwa ni desturi kwa Nchi kubwa kuchochea Nchi ndogo kwa maslahi yao ya Kiuchumi.

Nimefurahi sana kuona Viongozi wa N/S Korea wakiutegua huu mtego na kuulinda undugu wao wa kuzaliwa.

Japo bado kuna mikono ya wakubwa nyuma yao, naamini wakiongozwa na dhamira ya kweli watafikia malengo yao ya kumaliza chokochoko kwenye Penisula ya Korea na kuifanya kuwa Nchi moja yenye nguvu za uchumi na teknolojia huko mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom