Kifaa kipya cha Zuma ni hatari

Kifaa kipya cha Zuma ni hatari

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,337
Mzuqa wanajamvi!
Screenshot_2018-04-27-23-14-52.png


Screenshot_2018-04-27-23-14-52.png
images (4).jpeg

NI hatarii sana aisee. Kifaa kipya cha former president Jacob Zuma ni balaa. Toto la kizulu lenye umbo la kibantu yani Sheeeda halaf bado ni bikra, Zuma weee mbayaa. Dah kuna watu dunian wanakula raha na vitu laiiiiniii sana.

South Africa ni pakutembelewa tuuu

Allah tupe wepesi

Yesu tupe uvumilivu
 
Hapo kuna uzuri gani wa kuamsha waliolala?

Humu JF kuna warembo wakali zaidi yake, unaweza kuihonga nchi kama Mugabe.

Hujui kuchagua kabisa.
 
Nilidhani ni mimi tu kumbe tuko wengi.

Kama ni bikra za hivyo sitaki hata kuzisikia nyonyo zimelala umbo halieweki kweli huyo balaa
Hapo kuna uzuri gani wa kuamsha waliolala?

Humu JF kuna warembo wakali zaidi yake, unaweza kuihonga nchi kama Mugabe.

Hujui kuchagua kabisa.
Mbona wa kawaida sana mkuu!
Kifua chenyewe saa 10 asijekuwekewa shabu akaona bikra.
Sasa hapo kuna uzuri gani?
 
Tuache utani kifaa kimetulia mnataka vimbaumbau wakati wengine tuna aleji navyo.
Mifupa ale mbwa siyo binadamu bwana siye twala nyama.Wale waliojaliwa na Allah mwenyezi Mungu mkuje huku mwahitajika mno.
 
Back
Top Bottom