International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rwanda imetetea dili lake la udhamini kwa timu ya Arsenal dili ambalo litashuhudia wachezaji wa timu hiyo wakivaa beji inayoshawishi watalii kutembelea Rwanda. Katika utetezi wake nchi hiyo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Report: Senior Hezbollah leader killed in Israeli strike Arab outlets claim Israeli airstrikes in Syria killed Hezbollah terrorists including senior leader. Report: Senior Hezbollah leader killed...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Wahanga wa kujitoa kufa, wamevamia makanisa matatu nchini Indonsia na kuyalipua kwa mabomu. Milipuko hiyo imetokea katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo wa Surabaya na kusababisha vifo vya...
1 Reactions
74 Replies
9K Views
Behind Crypto Guide is a Team of day traders. Join for awesome profits: Crypto Guide ®
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Msikiti Mkubwa katika Jiji la Manchester wagoma kuuzika na kujihusisha na mazishi ya kijana aliyefanya shambulio lililouwa watu 22 na kujeruhi wengine wengi. Mpaka sasa taarifa zinasema mwili wa...
5 Reactions
110 Replies
13K Views
imeandikwa na Russia Today(RT) jeshi la anga la israel limesema kuwa ndege zake za kisasa toka marekani F-35 zimeshatumika katika operation mbili tofauti mashariki ya kati, hayo yamesemwa na...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Double Standard!!! After Assad nearly destroyed Palestinian camp "Al-Yarmouk" in Syria, his soldiers came to steal their belongings. Since Israel is not involved, I guess the UN will not condemn...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni nia ya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa mkutano kati yake na Rais wa Marekani Donald Trump uendelee, imeeleza taarifa ya vyombo vya habari vya Korea Kaskazini. Hii ni kutokana na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
IRELAND imepitisha kwa asilimia kubwa kura ya maoni ambayo inaondoa sheria kali za kutoa mimba katika Taifa hilo la Kikatoliki. Waziri Mkuu Leo Varadkar, ambaye aliunga mkono kura hiyo ya maoni...
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Kwenu Timu Trump! Marekani yasisitiza kuiadhibu Korea Kaskazini Muda wowote kabla ya 2018 Tumebakiwa na siku 11 kuisha 2017 lakini hatujawaona kuingiza pua zenu NK zaidi ya kupiga push-up na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Marekani imeyataka mataifa yote kukatiza uhusiano wa kidiplomasia na ule wa kibiashara na Korea Kaskazini baada ya taifa hilo kufanyia jaribio la kombora lake la masafa marefu. Akizungumza katika...
0 Reactions
113 Replies
13K Views
Original article Why the World May Be Safer with More Nuclear Weapons imeandikwa na Big Think Editors ifuatayo ni sehemu ya translation yake: US yafanya jitihada kuzuia silaha za nyuklia...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
https://worldisraelnews.com/israeli-air-force-destroyed-half-of-syrias-air-defenses-says-senior-officer/
2 Reactions
17 Replies
2K Views
JINSI MBINU ZA KIJASUSI ZILIVYOMPAISHA GINA KUONGOZA CIA SHIRIKA la Kijasusi la Marekani, CIA la mjini Virginia, limeandika historia mpya ya kuongozwa na mwanamke, Gina Haspel, mwenye umri wa...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Gwiji la filamu za Hollywood, Robert De Niro amempiga marufuku Rais wa Marekani Donald Trump kuingia katika migahawa ya Nobu popote duniani. De Niro ni mbia wa Nobu Restaurants toka mwaka 1993...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
"Ikiwa Marekani inataka kuishi kwa salama, ni lazima iache sera yake ya uadui kuelekea NK na kujifunza kuishi pamoja na nchi (NK) ambayo ina silaha za nyuklia na inapaswa iachane na ndoto zake za...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hayo ni maneno ya uongozi wa Korea Kaskazini katika joto la wababe hawa linaloendelea kupanda kila kukicha. "Tumejiandaa vizuri kwa chochote kitakachotoka kwa Marekani." Haya yanatokea wakati...
10 Reactions
138 Replies
15K Views
Rais Donald Trump amefuta mkutano wake na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jon-un uliokuwa umepangwa kufanyika June 12. Akiandika katika barua aliyomuandikia kiongozi huyo wa Korea Kaskazini, rais...
3 Reactions
130 Replies
11K Views
Juzi mike pompoe alisikika akisema endapo Korea ya kaskazini itakubaliana na matakwa ya marekani ya kuachana silaha za nyuklia basi, itaifanya nchi ya Korea ya Kim iwe tajiri Huu msemo una ukweli...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom