Kambi Ya Wapalestina Huko Syria iliyoshambuliwa na Ndege za Syria,UN wako wapi kulaani Hiki Kitendo

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,554
12,674
Double Standard!!!
After Assad nearly destroyed Palestinian camp "Al-Yarmouk" in Syria, his soldiers came to steal their belongings.

Since Israel is not involved, I guess the UN will not condemn this.
 
Attachments

  • FB_IMG_1527344499616.jpg
    FB_IMG_1527344499616.jpg
    43.8 KB · Views: 64
  • FB_IMG_1527344481809.jpg
    FB_IMG_1527344481809.jpg
    50.6 KB · Views: 34
  • FB_IMG_1527344491597.jpg
    FB_IMG_1527344491597.jpg
    76.6 KB · Views: 31
  • FB_IMG_1527344491597.jpg
    FB_IMG_1527344491597.jpg
    76.6 KB · Views: 34
Very sad. Just another example of how crooked the human rights council is besides Nikki Hayley. Here’s how a conversation would go down between two of the crooked members of the so called "Human Rights Council"

Bolivia: "Hey did you hear about what happened in Syria?"

Kuwait: "No, what happened?"

Bolivia: "Assad nearly destroyed a Palestinian camp"

Kuwait: "Oh no, wait, was Israel involved?"

Bolivia: "No, why does that matter?"

Kuwait: "Because we don’t care about people's suffering if we can’t blame Israel for it"

Bolivia: "Oh yeah, I forgot"

Kuwait: Hahaha

Bolivia: Hahaha
 
Mbona siwaoni bongo Palestinian wakilaumu huo uonevu au kwa sababu sio Israel amefanya?
Watu wanafiki sana boko Haramu wakiua na kuteka wanafunzi husikii watoto wa mama mdogo wakipiga kelele kuhusu haki za binadamu! Au Alshababu wakiua husikii wakisema na kulaani.
Israel akiwa analinda mipaka yake na akaua wanaotaka kuivamia Israel, utasikia kelele za watoto wa mama mdogo eti Israel hawangalii haki za binadamu.
Kweli dunia haiko fair.
 
Habari imekaa kishabiki sana...inshort haina ukweli wowote..na wachangiaji ndio hao hao pro America! Waafrika tunasafari kweli kweli:D
 
Habari imekaa kishabiki sana...inshort haina ukweli wowote..na wachangiaji ndio hao hao pro America! Waafrika tunasafari kweli kweli:D
Kwa hiyo unataka kusema kambi ya wakimbizi ya wapalestina haijashambuliwa na hizo picha ni uongo?Hebu Fanya research kidogo kabla ya kupinga!
 
Mbona siwaoni bongo Palestinian wakilaumu huo uonevu au kwa sababu sio Israel amefanya?
Watu wanafiki sana boko Haramu wakiua na kuteka wanafunzi husikii watoto wa mama mdogo wakipiga kelele kuhusu haki za binadamu! Au Alshababu wakiua husikii wakisema na kulaani.
Israel akiwa analinda mipaka yake na akaua wanaotaka kuivamia Israel, utasikia kelele za watoto wa mama mdogo eti Israel hawangalii haki za binadamu.
Kweli dunia haiko fair.
Yaani ni Double standard kwa 200%
 
Sio hao wanajeshi wanasaidia kuhamisha vitu, Assad force is not cowad like Israels
 
hao jamaa hawachoki kuishi kambini? Waarabu si wawape tu uraia waarabu wenzao?
 
Back
Top Bottom