International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwa mara nyingine tena Moshe Yaloon, waziri wa ulinzi wa Israel ametishia kutumia silaha za nyuklia dhidi ya Iran. Matamshi hayo ameyatoa huku mazungumzo ya nyuklia yakiwa mazuri kati ya Iran na...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Uzalishaji wa kombora la anga la masafa marefu la Sayyad-3 umezinduliwa leo katika hafla iliyohudhuriwa na maafisa wa ngazi za juu wa jeshi hapa nchini. Uzalishaji wa kombora hilo lililotengenezwa...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Ukistaajabu ICBM za Kim basi huwezi shangaa pia kuona barua kubwa zaidi aliyoituma Kim kwa Trump kupitia Genarali Kim Yong-chol, mjumbe wa NK aliyefika jana White House, US. Trump alisema barua...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais Tayyip Erdogan amesema biashara ya Uber imemalizika nchi humo, baada ya malalamiko mengi kutoka kwa madereva wa usafiri wa taksi waliokuwa wanataka biashara hiyo ifutwe Takribani madereva wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
To be honest, it’s always feel proud to see your nation among powerful militaries in the world. Military means, having power to defend, to protect, and to save one’s territorial right. But, Whom...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Askofu Mkuu wa Iran: Marekani haina uwezo wa kukabiliana na mshikamano wa taifa la Iran Askofu Mkuu wa Wakristo wa Kiarmenia wa Tehran na kaskazini mwa Iran amesema kuwa, karibu miaka 40 sasa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Marekani, Moja ya Taifa la kipekee sana hapa duniani. Mbali na Ujinga wao mwingi lakini ni nchi yenye furaha sana na uhuru mwingi: Hili hata maadui wa Marekani wanalijua, Marekani ni nguvu zote...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasema joka ukililea ndani, ipo siku litakumeza. Wakati US inaanza chokochoko na Russia, umoja wa Ulaya waliona sawa tu kwasababu wote wana visa au uadui na Russia. Ilipokuja kwa Mchina...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wazazi wawili mjini New York wameshinda kesi waliyokuwa wakipambana kumuondoa kijana wao mwenye umri wa miaka 30 baada ya kukaidi kuondoka Wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo katika mahakama ya...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Ujamaa ulikuwa ni falsafa ambayo kikawaida ilikuwa na mambo ya kushangaza. Kuna kitu walikuwa wanaita SOLIDARITY KISS ambapo viongozi wa nchi za kijamaa walikuwa wanapigana mabusu mashavuni na...
10 Reactions
61 Replies
8K Views
Waziri Mkuu wa Uhispania, Mariano Rajoy yuko hatarini kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani naye kufutia sakata la rushwa > Hoja ya kupigiwa kura kwa kiongozi huyo imepelekwa katika...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Vijana 11 raia wa Tanzania waishio Johannesburg, Afrika Kusini walioshtakiwa kosa la ubakaji wameachiliwa huru na hakimu mkazi wa Mahakama ya Johannesburg. Walikuwa wameshtakiwa kwa makosa ya...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Giuseppe Conte aapishwa kuwa waziri mkuu Italia Guiseppe Conte ameapishwa kuwa waziri mkuu wa serikali mpya ya Italia, baada ya kumalizika kwa mkwamo wa kisiasa uliodumu kwa miezi kadhaa na...
1 Reactions
1 Replies
736 Views
Washirika wa Marekani waungana kujibu vikwazo vya Trump Nchi washirika wa Marekani zimekasirishwa na hatua za serikali ya Rais Donald Trump kuziwekea vikwazo vya kiushuru, vinavyolenga bidhaa za...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
President Donald Trump said Friday he will meet North Korean leader Kim Jong Un on June 12 in Singapore, a summit he previously canceled in a letter. Trump received a top-level visitor from North...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Bunge nchini Rwanda, Alhamisi lilipitisha sheria ya uhalifu wa mtandaoni yenye nia ya kuisaidia sekta za kiserikali na binafsi kudhibiti uhalifu huo. Bunge la juu lilipitisha muswada na kupeleka...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
(CNN)It's an image that has transfixed Paris and the world: A young boy dangling precariously off a fifth-floor apartment balcony as others rush to rescue him. There's a lot going on in the...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
"The messenger" Kim Jong Chol (first Left) with US Secretary of State Mike Pompeo. Donald Trump has said he will meet with North Korea's Kim Jong Un at a denuclearisation summit on June 12...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Sera ya rais wa Marekani Donald Trump ya "Amerika Kwanza" kuhusu biashara ya kimataifa imeiathiri Rwanda, kwa kuanzisha ushuru wa nguo zinazotoka katika taifa hilo dogo la Afrika Mashariki ...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkutano uliokua uwakutanishe viongozi wa Marekani na Korea ya Kaskazi na baadaye kufutwa na raisi Trump umerejea tena ambapo wajumbe kutoka marekani wamewasili Korea ya Kaskazini kwa ajili ya...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom