Msikiti wagoma kuuzika mwili wa kijana aliyefanya shambulio la Manchester na kuua 22

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,430
Msikiti Mkubwa katika Jiji la Manchester wagoma kuuzika na kujihusisha na mazishi ya kijana aliyefanya shambulio lililouwa watu 22 na kujeruhi wengine wengi. Mpaka sasa taarifa zinasema mwili wa kijana huyo bado upo katika chumba cha kuhifadhia maiti.

Maafisa wanaohusika mazishi pia wamekataa kuuzika mwili wa kijana Salman Abedi ikiwa ni kuepusha mwili wa kijana huyo kuzikwa katika ardhi ya jiji la Manchester.



=====
One of Manchester's biggest mosques has refused to bury the body of the Manchester terrorist who killed 22 last week. It is thought his body remains unburied councils, funeral directors and now the city's mosques, refuse to deal with it. According to the Daily Mail, the bomber's body remains in a morgue outside Manchester.

The Manchester Evening News has reported that the city’s authorities are reportedly doing "everything in their power" to stop him being cremated, buried, or laid to rest in any way in the Greater Manchester area.

A source told the Manchester Evening News: "Just like Ian Brady, every effort is going in to making sure that there is not a chance Abedi can be buried or cremated in Greater Manchester."

Inquest proceedings will soon be heard, and the disposal of his body will be decided by the coroner. A source told the MEN that his body has never been kept in the same place as his victims. Now, at least one mosque is taking the same course of action as the council.

Manchester Central Mosque, one of Manchester's largest Muslim funeral providers, has said it will have nothing to do with the body. A spokesman from the place of worship told the Evening Standard that its executive committee had met and agreed not to inter the remains of Abedi if his family made a request.

===The Telegraph===
 
Sio wote wanaokufa wanazikwa na shujaa huyu angefaa akazikwa hivo hivo na damu yake hakika wenye kufa kwa ajili ya Allah ni mashujaa na damu yao ni ushahidi tosha watafufuliwa wakiwa na nuru
Mkuu huyu ameuwa watu wasio na ugomvi nae na wala alikuwa hawajuani na baadhi ya aliowauwa. Huyu hakuna kufufuliwa na nuru. Huyu ni wa jehanam. Allah wenu kakataza kuuwa watu wasiokutendea ubaya.
 
Kwako huyo ndiye shujaa? Endeleeni kujazana upumbavu.
Sio upumbavu wewe huelewi maana ya shujaa huyu kajitoa kupigana na watu wanaostarehe duniani wakifanya uharibifu duniani kwa kufanya dhambi na kufuja mali kwa uchafu ilihali watu wengine wanakufa njaa watoto wadogo wanabakwa damu inamwagika duniani bora kawaonyesha nao uchungu wanaopata wengine hivo amekufa kishujaa kuwakumbusha wengine nao wajue
 
Sio upumbavu wewe huelewi maana ya shujaa huyu kajitoa kupigana na watu wanaostarehe duniani wakifanya uharibifu duniani kwa kufanya dhambi na kufuja mali kwa uchafu ilihali watu wengine wanakufa njaa watoto wadogo wanabakwa damu inamwagika duniani bora kawaonyesha nao uchungu wanaopata wengine hivo amekufa kishujaa kuwakumbusha wengine nao wajue
Are you serious?? Like really!!??
 
Waislam hao wanafiki hata katika Quran wametajwa wa naangalia ya dunia wasaliti wa kubwa hawafai kuitwa waislam wa subiri adhabu yao nayo inakuja
Unajua maana ya ugaidi au unaongea tu na sio kila unayemuona anajiita muislam anaujua uislam wengine waislam jina hawana lolote kazi kulinda maslahi yao ya kidunia
Waislam wenzio sasa wanaupiga vita Ugaidi!
Nenda kawasaidie BOKO HARAM weusi wenzako
 
chuki ipi au ustarabu upi unataka kwa shetani huyo,,,acha , atupwe aliwe na fisi huko, ana sifa zipi za kuzikwa kama binadamu!! Ingekuwa enzi za dola ya rumi ,,anahangikwa msalabani anaachwa hapo!!
 
Mzoga chunga ulimi wako hujui wewe utafia wapi au utazikwa au waweza zama baharini na usionekana mwili wako Binadamu hutakiwi kuapiza wanadamu wenzako acha chuki kuwa mstaarab

Sasa hilo dude siyo zoga? Binadamu anayetamani kuua wengine ni zaidi ya zimwi. Bila shaka hili dude siyo mzoga bali zoga na ndiyo sababu hata kuzikwa kwenye ardhi ya Manchester halitakiwi. walirudishe kwenye bahari ya lile zoga lingine.
 
Seriously aau ufuatilii yanayoendelea duniani kuna mataifa yakiguswa ndio ugaidi mengine yakiguswa sawa wa palestina kila siku wanauuwawa kwa ajili ya ardhi yao mbona hamsemi akiuwawa mmarekani au muingereza mnaleta masikitiko yenu humu kwendeni huko
Umesema kweli sana ndugu yangu siku zote babu wa makafir ni mmoja yaani watu ni wao tu wengine taka taka
 
Ndio kwani wengine wenye kuuwawa ni haki yao kufa mbona mnaangalia upande mmoja

Hueleweki. Hao watu aliowaua Manchester wamemfanya nini? Aliyemtuma ajiue ndiye amchukue akamzike. Binadamu wamekataa, wewe unasemaje?

Kama alitakak ufa angekunywa sumu tu akafe. Failures za maisha ndizo zinawafanya watu wajae wivu na kuanza kuumiza watu wengine.!
 
Waliokataa kuzika ni Waislam mkuu..
Sheria inasema akifa mwanaadamu na azikwe japo na watu wawili basi wote watakuwa wametekeleza wajibu na hakuna atakayelaumiwa ila wakiacha kumzika watapata dhambi wote sasa hao waislamu walikataa kumzika wametoa wapi hukumu hiyo?Labda wangesema tunamzika bila kumuombea tungewaelewa vinginevyo kuna shinikizo. Siungi mkono alichofanya salman abed (kama ni kweli)ila kuacha kumzika ni unafiki wa huo msikiti uliopitiliza
 
Hueleweki. Hao watu aliowaua Manchester wamemfanya nini? Aliyemtuma ajiue ndiye amchukue akamzike. Binadamu wamekataa, wewe unasemaje?

Kama alitakak ufa angekunywa sumu tu akafe. Failures za maisha na upumbaveu ndizo zinawafanya watu wajae wivu na kuanza kuumiza watu wengine. Upumbaveu!
Hakuna failure za maisha a najitoa kwa wanaonewa wanaishi kwa dhiki juu ya ukandamizaji wa mataifa makubwa
 
Back
Top Bottom