Kimbunga Japan

Kimbunga Japan

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,285
Reaction score
49,221
Kimbunga kimbunga cha nguvu Western magharibi watu 11 wamefariki kutokana na kimbunga hicho

FB_IMG_1536133579024.jpg
 
Hivi si huko wenzetu wako vizuri kwenye mambo ya utabiri wa hali ya hewa? Vipi hawakuliona hilo mapema ili watu wahame hiyo sehemu kwa muda hadi kimbunga kikiisha?!!
 
Poleni sana wajapani, liwe somo kwetu kujua nini chanzo na vipi tuepukane na hali hiyo
 
Back
Top Bottom