Sasa huyo malema anataka USA ya afrika wakati wao huko wazulu hawawataki Wageni kwao!bado tunaweza kufufua ndoto za wazee wetu
Nimejikongoja na kujiumauma sana kukisoma hiki kizungu ila at least nimekuelewa. You've a point, strong one for sure.He's suggesting borderless Africa while we still call each other Kwerekweres?!..
Borderless Africa with one President while some neighbors just changed their Constitution so they can be married to Power till death do them apart?!..
Borderless Africa while opposition partys in 'individual' countries wish they could strangle each other with their party color's scarves?!..
Borderless Africa, My! My! My!,..I can see how happy Mr. PK will be happy to move the DSM, to KGL..I can see how happy them 254 will be, to move the KILI, to NBI, and then both 'em PK and 254, declare the end of Borderless Africa..
Borderless Africa!, C'mon brother Julius, is U for Real?!, better get Real before the Reality gets into you..
Wana janvi tumsikilize kaka yetu huyu na tusaidie kusambaza kokote duniania kadri tuwezavyo.
Sasa huyo malema anataka USA ya afrika wakati wao huko wazulu hawawataki Wageni kwao!
Mbona sijawahi mskia akikosoa au kemea upuz unaofanywa na wazulu kwa Wageni huko dizonga
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu watakubali.....Wana janvi tumsikilize kaka yetu huyu na tusaidie kusambaza kokote duniania kadri tuwezavyo.
Amelizungumzia hilo kwenye hyo video angalia mpaka mwisho!Sasa huyo malema anataka USA ya afrika wakati wao huko wazulu hawawataki Wageni kwao!
Mbona sijawahi mskia akikosoa au kemea upuz unaofanywa na wazulu kwa Wageni huko dizonga
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunatambaa tokea mwaka 1965 nkurumah alipotoa hilo wazo!Zanzibar wanakesi mahakamani wanataka kuvunja muungano.
Burundi wanawatuhumu Rwanda kupanga mapinduzi na kuvuruga amani nchini kwao.
Sudan na South Sudan hawataki hata kusogeleana ndio maana wametengana.
A united Africa is a good move, ila mimi binafsi naunga mkono mawazo ya Mwalimu Nyerere. Tuungane kwanza kwa regional blocks kabla ya kufikiria a united Africa.
Tutaweza vipi kuiunganisha Afrika nzima kama Afrika mashariki pekee imetushinda kuiunganisha?
Tutaiunganisha vipi Afrika wakati hata majirani kama Rwanda na Burundi wanatamani kushikishana adabu?
Labda niwakumbushe tu, a United Africa means a bigger country and eventually bigger problems!
Kama Museveni anapindisha sheria na kuminya demokrasia ili abaki kuwa raisi wa nchi ndogo tu kama Uganda, vipi akiwa rais wa Afrika?
Vita ya kugombea madaraka itatuangusha kabla hata hatujasimama!
Tunaweza kuipata United Africa kama tutaweza kutengeneza muungano imara wa Africa mashariki, muungano madhubuti wa Afrika ya kati na maeneo mengine!
Hebu tutambae kwanza kabla ya kutembea. Kama tukizifuata hatua kwa usahihi, basi tunaweza kupaa. Ila, TUTAMBAE KWANZA!
- KANA -
Mkuu, wanaungana watu wenye mawazo ya kufanana. Sisi bado hatujafanana mawazo au malengo.Mkuu tunatambaa tokea mwaka 1965 nkurumah alipotoa hilo wazo!
Mi kwangu naona changamoto kubwa la bara letu kukosekana strong leadership laiti km kungekuwepo na strong leadrship hili jambo na hakika lingefanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu lakini hyo yote uliyosema yanaweza yasiwe changamoto km tutakuwa na strong leadership yenye viongozi wenye vision ya kuona mbaliMkuu, wanaungana watu wenye mawazo ya kufanana. Sisi bado hatujafanana mawazo au malengo.
Kuna nchi ni vibaraka wa wakoloni, kuna nchi wanataka dola ya kiislamu, kuna nchi zina wafalme wanaotawala maisha yao yote na kadhalika. Kuwaweka hawa wote chini ya mwamvuli mmoja sio kazi rahisi!
- KANA -
Sipingani na hoja yako mkuu, swali langu ni je, hiyo strong leadership tunayo?Ni kweli mkuu lakini hyo yote uliyosema yanaweza yasiwe changamoto km tutakuwa na strong leadership yenye viongozi wenye vision ya kuona mbali
Ofcourse mwisho wa siku tunaweza tusiwe nchi moja lakini cha muhimu tuwe na sauti moja linapokuja suala la maslahi yanayohusu africa na sio km saiv ambapo mzungu anaweza toka ubelgiji akaenda congo na kuanza kuchonganisha makundi mbalimbali wapigane ili achukue rasilimali huku sie tukiangalia tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yeyote anayeitwa Julius,Juliana,Junaida wote wenye majina yanayoanziwa na Ju awe mwanamke au dume la mbegu unaweza fupisha kwa kumwita Jujumaana yake ni nini mkuu juju