Mambo VP wadau wa Zenjin
dugu nipo Zanzibar ni mgeni natafuta nyumbani ya kupangisha ya self yenye fensi na geti bajeti yangu angalau USD 100 kwa mwezi kama inapatikana nifamishe kwa Namba zangu...
Kiongozi Muadhamu: Bishara za ushindi mkubwa zimeonekana wakati Wapalestina walipoipigisha magoti Israel masaa 48 tu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Palestina...
MUMBAI: Jeshi la Polisi limesajili kesi 455 za watu walikuwa wakiendesha vyombo vya moto huku wamelewa kwenye mkesha wa mwaka mpya
Mpaka kufikia usiku wa tarehe 31 pekee Jeshi hilo liliwakagua...
MEXICO CITY - Mexico imealika wataalamu kutoka Bodi ya Taifa ya Usalama katika Usafirishaji (NTSB) kutoka Marekani. kuchunguza ajali ya helikopta iliyoua gavana wa Jimbo la magharibi la Puebla...
Kama heading inavyojieleza, kuna sintofahamu kubwa kati ya nchi hizi jirani yaani Burundi na Rwanda ambapo majuzi baada ya Kagame kushuhudia mazoezi ya kijeshi huku askari wake wakijaribu mizinga...
President Pierre Nkurunziza has asked the East African Community leadership to urgently convene an extraordinary summit to address the differences between Burundi and Rwanda.
While addressing...
Shehu Usman amefariki katika hospitali ya taifa mjini Abuja alipokuwa akipatiwa matibabu.
Shehu amefariki akiwa na umri wa miaka 93 na aliwahi kuwa Rais wa Nigeria mwaka 1979 mpaka 1983 ambapo...
Wame weza!!!
Khartoum–Sudan’s President Omar al-Bashir has resigned after weeks of demonstrations and a mutiny by some police officers.
Vice-President Bakri Hassan Saleh has been sworn in vowing...
Ningependa kushare ujumbe murua kutoka kwa papa Francis ambao unaweza kuwafunza viongozi wa dini nchini.
Papa Francis alipenda Christmas hii isheherekewe kidini na kimungu zaidi kuliko kidunia.
Russian President Vladimir Putin says a new hypersonic missile system that he says can evade U.S. ballistic missile defenses will be deployed in 2019 as part of Russia's focus on advancing its...
China imesema makubaliano ya muda yamefikiwa na uongozi wa Vatican juu ya kuteuliwa kwa maaskofu na kutafungua ukurasa mpya kati ya mahusiano ya China-Vatican yakimaliza miongo mingi ya...
Following volcanic activity from the Krakatau (Krakatoa) volcano in Indonesia, a level three alert has been issued in the area. Given the severity of volcanic ash when it comes to aviation, this...
KARACHI, PAKISTAN Shirika la ndege limesitisha mikataba kwa marubani 50 wakiwemo 3 wanaotuhumiwa kwa kuwa na shahada za bandia
Mkuu wa shirika la ndege la nchi hiyo amesitisha ajira kwa Watumishi...
Wahamiaji kutoka nchi za Syria na Iran walioko Ufaransa wameanza safari ya kuingia nchini Uingereza kwa kutumia mashua ndogo zile zenye kujazwa upepo kupitia mkondo uitwao English Channel.
Boti...
CANADA: Takribani Madaktari 500 pamoja na Wanafunzi wa Utatibu 150 wametia saini barua ya wazi wakipinga ongezeko la mashahara kwa Madaktari
Ongezeko hilo la mshahara limetokana na mapendekezo...
LIVE: Yellow Vest - Ona jinsi wazungu wanavyotesana kwa ukiukaji wa haki za binadamu
Mwandishi wa Habari akizuiwa kupiga picha
WAANDISHI WA AFRIKA JIFUNZENI KUFICHA MABAYA YENU...
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo ametoa mwito wa kurejea kwa hali ya utulivu katika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ikiwa ni baada ya watu kadhaa kuuawa kufuatia maandamano...