International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Demokrasia yaweza kuwa mwiba mchungu sana. Wabunge wa Uingereza , leo jioni ,kwa kauli moja wameigaragaza Serikali ya Waziri Mkuu Theresa May kwa kupinga muswaada wa namna ya kujitoa Umoja wa...
14 Reactions
65 Replies
6K Views
Urusi imeshambulia na kuziweka kizuizini meli tatu katika rasi ya Crimea jana Jumapili baada ya kushambuliana kwa muda kadhaa katika tukio linaloongeza uhasama baina ya nchi hizo mbili Urusi...
10 Reactions
276 Replies
35K Views
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) inatazamiwa kufanya kikao cha dharura kesho Alkhamisi, kujadili mgogoro wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, uliobuka baada...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo mchana mjini Nairobi kumetokea mlipuko wa bomu karibu na hoteli ya kitalii katika eneo la WestLands. Eneo khasa lilipotokea mlipuko huo ni lile la naba 14 Riverside ambako ipo hoteli ya Dusit...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
The Russian Defense Ministry has drafted new rules that would grant the military permission to shoot down hijacked passenger jets. Current legislation contains conflicting clauses both allowing...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
The former President of Cote d'Ivoire Laurent Gbagbo has been acquitted of all charges of crimes against humanity by the International Criminal Court in The Hague, an ICC press officer tells CNN...
0 Reactions
1 Replies
579 Views
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii MWANAMKE mmoja nchini Misri amefukuzwa chuo baada ya kuonekana akimkumbatia mwanaume katika moja ya video iloyosambaa katika mitandao. Binti huyo amefukuzwa...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
May says MPs will get chance to debate no confidence motion tomorrow Theresa May is making a statement to MPs now. She says the result tells us what MPs do not want, but not what they want. She...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Avigdor Lieberman akiri kwamba Israel imeshindwa na harakati ya HAMAS Ukanda wa Ghaza Jan 10, 2019 15:52 UTC Waziri wa zamani wa vita wa utawala haramu wa Israel, Avigdor Lieberman sambamba na...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
..kisa chenyewe kilikuwa hivi. ..serekali ya Cuba ilianzisha msako wa waathirika wa vvu. ..askari na maofisa usalama walikuwa wakivamia makazini na kuchukua vipimo vya damu. ..waathirika wote...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Walimu elfu 32 katika jimbo la Los Angeles nchini Marekani wamegoma kwenda darasani wakilalamikia hali mbaya ya kazi. Mgomo wa walimu hao ambao haujawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 30...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
DR Congo: Mahakama ya kikatiba kuanza kusikiliza shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi Felix Tshisekedi Kesi hii ilifunguliwa na Martin Fayulu aliyeshika nafasi ya pili katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii video inaonyesha jinsi Njaa inavyowapelekea maharamia huko Somalia ya Kaskazini mashariki PUNTLAND, wakipigwa kiberiti Baada ya ya kuishambulia Manowari ya waRUSSIA. Boti zao ziliteketezwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Shirika la habari la serikali ya Syria liliripoti siku ya Jumapili kuwa kombora moja lililofyatuliwa kuelekea Damascus lilipiga ghala katika uwanja wa ndege wa mji huo. Waziri Mkuu wa Israeli...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mamlaka za nchi ya Sudani zimewakamata Waandishi wa Habari 28 waliojaribu kuandamana kudai uhuru wa vyombo vya habari Waandishi hao wakiwa na mabango waliandamana hadi nje ya ofisi za usalama wa...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Taarifa zinaeleza kuwa Serikali ya Zimbabwe imeuzima mtandao wa internet nvhini humo kufuatia maandamano yanayoendelea Wananchi wamezuiwa kupata huduma za mitandao ya kijamii kwani Serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Russian giant Antonov An-124 air freighters are ready to take off Wednesday, Aug. 17, carrying an array of advanced S-400 and S-300 air defense missiles bound for the new Russian air base just...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
OMAR BASHIR ASEMA MAANDAMANO HAYATAMTOA KWENYE UTAWALA Rais wa Sudan, Omar al-Bashir amesema kuwa maandamano ambayo yanaendelea kuikumba Sudan kwa karibu mwezi mmoja hayatamuondoa kwenye utawala...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Oct 23, 2017 @ 13:40 commandos, Iran, Israel, Jordan, Syria, US Iran has transferred elements of its elite 65thBrigade to Syria. On arrival on Saturday Oct. 21, they assumed command of the Syrian...
3 Reactions
104 Replies
13K Views
Marekani imempiga marufuku Rais wa zamani wa Gambia Yahya Jammeh na familia yake kukanyaga Marekani kwa sababu za rushwa, wizi wa fedha za umma. Hapa kwetu kuna 1.5 trillions hazijulikani zilipo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…