Marekani yampiga marufuku Rais wa zamani wa Gambia, Yahya Jammeh kuingia nchini humo

Mra Eliphas

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
264
234
Marekani imempiga marufuku Rais wa zamani wa Gambia Yahya Jammeh na familia yake kukanyaga Marekani kwa sababu za rushwa, wizi wa fedha za umma.

Hapa kwetu kuna 1.5 trillions hazijulikani zilipo hadi leo, hata kamati ya bunge imeingia mitini hadi leo hawajatupa jibu pesa hizo zilienda wapi kama CAG alivyowataka waibane serikaki ieleze zilipo pesa hizo. Trump, now turn to Tanzania.

======
Former Gambian President Yahya Jammeh blocked from entering US

The US State Department has barred former Gambian President Yahya Jammeh and members of his immediate family from entering the United States.

The decision announced on Monday comes almost two years after Jammeh was forced into exile in Equatorial Guinea after he refused to concede defeat in a presidential election.

Jammeh ruled the tiny West African country for two decades. He lost a democratic election to Adama Barrow in December 2016.

However, Jammeh refused to step down, which prompted a military threat by the African Union and the West African regional body ECOWAS. He fled to Equatorial Guinea in January 2017.

The State Department said Jammeh is now being banned entry to the country under a category that applies to foreign government officials who are believed to have committed "significant corruption or a gross violation of human rights".

In addition to Jammeh, his wife Zineb, and their daughter Mariam and son Muhammad are also being blocked.

The Barrow government reported that Jammeh stole at least $50m from the country while in office.

Jammeh, who attended a military training course in Alabama, owns real estate in Potomac, Maryland, about 24km from Washington, DC.

An estate previously owned by former American basketball player Calbert Cheaney, it was sold to the Jammeh family trust in 2010 for $3.5m, according to public records.
 
Mchawi wa nchi ni katiba ya Msekwa. Kwa mapenzi yake makubwa kwa Mwl Nyerere, aliweka vipengere vingi vikimuumba kama mungumutu. Asiyekosea, na pengine alidhani maisha yatakomea kwao. Na Mwl aliliona hili tatizo, alilisemea lakini hawakulifanyia kazi.

Leo katiba imemtengeneza kiongozi anayedhani fikra zake ni sheria za kufuatwa na kila moja. Kiasi anadiriki kusema katiba si kipaumbele chake !!!!!. Anazo budget zake nje ya bunge. Na hazihojiwi bali aungwe mkono.

Hili la Yahya Jahme hata kwetu litakuja tu. Kama tuna single account na mlipaji mkuu ni mpwa !!! Tuombe Mungu ainusuru Tz
Marekani imempiga marufuku raisi wa zamani wa Gambia Yahya Jammeh na familia yake kukanyaga Marekani kwa sababu za rushwa, wizi wa fedha za uma.

Hapa kwetu kuna 1.5 trillions hazijulikani zilipo hadi leo, hata kamati ya bunge imeingia mitini hadi leo hawajatupa jibu pesa hizo zilienda wapi kama CAG alivyowataka waibane serikaki ieleze zilipo pesa hizo. Trump, now turn to Tanzania.
 
Back
Top Bottom