imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,464
Hii video inaonyesha jinsi Njaa inavyowapelekea maharamia huko Somalia ya Kaskazini mashariki PUNTLAND, wakipigwa kiberiti Baada ya ya kuishambulia Manowari ya waRUSSIA.
Boti zao ziliteketezwa kabisa na Warussi hao ambao wanaonekana wako VODKA sana.
Boti zao ziliteketezwa kabisa na Warussi hao ambao wanaonekana wako VODKA sana.