Urusi: Sheria mpya kuruhusu Jeshi kutungua ndege za abiria

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
The Russian Defense Ministry has drafted new rules that would grant the military permission to shoot down hijacked passenger jets.

Current legislation contains conflicting clauses both allowing the military to fire at civilian aircraft hijacked by terrorists and banning shooting down planes that violate the Russian border if passengers are on board.

If the Defense Ministry’s rules are approved, the Russian military would be able to shoot down passenger jets that “refuse to obey commands to land,” according to the ministry’s draft regulations that were submitted for public debate.

“Sadly, people on the plane will die, but this will prevent a more terrible catastrophe,” Russia’s pro-Kremlin Izvestia daily quoted Senator Frants Klintsevich as saying Friday.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watungue tu mimi sijawahi hata kuota kupita huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kwa sababu wewe hupiti huko watu wafe tuu zikianza hizo sheria Urusi Nchi nyingi zitawekwa na zitakazotunguliwa ni zile zilizopopita Urusi harafu wana ugomvi nao kama ile waliyoitungua ile ya mwaka juzi...
Xenophobia attack ilianzia Durban watu wote SA waliipinga wakijua itaenea sasa hivi mpaka North West nako imechachamaa na hatupendi yanayotokea huko ingawaje mimi hata bure siwezi kukaa huko...
 
Hii Mbinu Sio Mbaya Ila Inahitajika Kutumika Endapo Pale Tu Njia Zote Za Kuisalimisha Hiyo Ndege Zimefeli. USAF Walisharuhusiwa Kisheria Kutumia Hii Mbinu Baada Ya 9/11 Naona Na Urusi Pia Wanataka Kui-Apply.

Bado nina kumbukumbu ya kilichotokea mwaka 1983 pale ndege ya abiria ya South Korea ikiwa kwenye flight no. KAL 007 ikitokea new york kwenda South Korea ilipokatisha kwenye anga za Russia wakati ule Soviet Union ikadunguliwa kwenye visiwa vile vya Sakharin abiria wote karibu 259 wakafa...Ndege ya kijeshi ya Soviet Union SU-15 ndiyo iliyopia lile kombora na kuitungua ndege hiyo...Nakumbuka pia namna Naibu Waziri wa ulinzi wa Soviet Union wakati huo Marshal Nikolai Orgakov alipotetea kwenye press conference uamuzi wa kuidungua ndege hiyo
 
Bado nina kumbukumbu ya kilichotokea mwaka 1983 pale ndege ya abiria ya South Korea ikiwa kwenye flight no. KAL 007 ikitokea new york kwenda South Korea ilipokatisha kwenye anga za Russia wakati ule Soviet Union ikadunguliwa kwenye visiwa vile vya Sakharin abiria wote karibu 259 wakafa...Ndege ya kijeshi ya Soviet Union SU-15 ndiyo iliyopia lile kombora na kuitungua ndege hiyo...Nakumbuka pia namna Naibu Waziri wa ulinzi wa Soviet Union wakati huo Marshal Nikolai Orgakov alipotetea kwenye press conference uamuzi wa kuidungua ndege hiyo


Kwanini ilidunguliwa?
 
Kwanini ilidunguliwa?

kuna conspiracy theories hapa...Lakini moja ya theory ambayo ilikuwa ipo wakati ule ni kwamba ndege hiyo ya KAL ilipita makusudi kwenye eneo ambalo lilikuwa na vituo vya kijeshi au silaha kali za kijeshi za Soviet Union na kwamba inadhaniwa KAL iliwekewa vifaa vya ujasusi vinavyopiga picha chini na kwamba kwa kutumia ndege ya kiraia kufanya ujasusi Warusi wasingeidungua...Lakini inaelezwa kuwa Warusi waliugundua mchezo huo na wakafanya kweli kwa kuiangusha ndege hiyo bila kujali vifo kwa raia na hivyo kuzisikisha adabu nchi za magharibi na hasa Marekani wasirudie mchezo huo wa kijinga...lakini ni maelezo au theory moja tu kwani kuna theories nyingine...Binafsi nilifuatilia sana suala lile kwenye magazeti mbalimbali wakati ule hasa ya Newsweek na Times...na hata sasa mtu anaweza kufuatilia kwenye mitandao kwa ku-google...
 
Nilichoelewa ni kwamba kama ndege ni ya abiria ila imebeba mgaidi itunguliwe kama ni ya raia na imebeba raia isitunguliwe.

Kwani nikisema ukiona chupa ya wine imebeba sumu itupe au vunja na nikisema ukiona chupa ya wine na imebeba wine iache tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Sawa Ulichosema Ila Kama Kitendo Cha Kubeba Magaidi Tu Kisababishe Hiyo Ndege Itunguliwe, Hilo Linaweza Kusababisha Ndege Itunguliwe Kimakosa.

Sitetei Ugaidi Ila Magaidi Wapo Na Wanaweza Kusafiri Na Ndege Bila Kuleta Madhara Yoyote Ndani Ya Ndege. Kwahiyo Kwa Wakati Huo Hao Magaidi Wanahesabika Kama Abiria Wa Kawaida Tuu.

Ni Mpaka Pale Hao Magaidi Watakapoamua Kuiteka Hiyo Ndege Ndipo Hii Mbinu Ya Kuitungua Hiyo Ndege Pengine Inaweza Kutumika. Si Vinginevyo Bali Ni Mpaka Hiyo Ndege Iwe Imetekwa Kweli Na Mbinu Nyingine Zozote Za Kuisalimisha Zimeshindikana Ndio Inatunguliwa.
 
Back
Top Bottom