Marekani imesema Ijumaa kuwa iko pamoja na watu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kufuatia zoezi la kihistoria la kukabidhiana madaraka na kutangaza katazo la kuingia Marekani kwa maafisa...
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameamuru kufungwa kwa mpaka wa kusini mwa nchi yake, ambao unaitenganisha na Brazil. Hatua hii imeanza kutumika usiku wa kuamkia leo (saa za Venezuela).
Uamuzi...
Huyu ni kijana aliyezaliwa na ulemavu lakini ametumia ulemavu huo ambao ni hasi na kufanya jambo ambalo leo linampa faraja katika maisha yake.
Vijana wetu wa kitanzania wao wana viungo vyote...
Nigeria kama vile nchi nyingine za Kiafrika kama TZ yetu pia imejikita kwenye ujenzi mpya wa Reli ya kisasa (standard gauge) kwa msaada ya Uchina!
Tayari nchi ya Nigeria imekamilisha ujenzi huo...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma vijarida mbalimbali vikieleza namna Regan na utawala wake ilivokuwa mahili hata kuiangusha Soviet Union.
Katika miaka ya mwisho ya 60 kulitokea kutokuelewana kati...
Baada ya ya rais Pierre Nkurunzinza kuvunja katiba na kugombea urais kwa mhula wa tatu hali ya usalama nchini Buriudi imekua sio nzuri.
Uchaguzi uliomuweka madarakani Nkurunzinza ulilaumiwa vikali...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameionya Serikali ya Venezuela dhidi ya nguvu inayotumika kwa wananchi wanaoandamana
Guterres ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na...
Wakuu kesho ndyo uchaguzi wa nigeria unafanyika na kwa hali ilivyo kuna kila dalili buhari akashinda tena kiti cha urais. Hii ni kutokana na mpinzani wake mr aboubakar atiku kuwa na skendo za...
UNITED NATIONS, Feb. 20 (Xinhua) -- UN Secretary-General Antonio Guterres announced Wednesday the appointment of Major General Zia Ur Rehman of Pakistan as force commander of the United Nations...
Ramani ya Lubumbashi, DRC
Ramani ya Lubumbashi, DRC
Watu 18 wamepoteza maisha na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumatano jioni katika kijiji cha Kabwe, mjini...
Iran yazindua nyambizi mpya yenye makombora ya cruise
Feb 18, 2019 02:33 UTC
Rais Hassan Rouhani wa Iran amezindua nyambizi ya kisasa iliyoundwa hapa nchini ambayo ina uwezo wa kusheheni makombora...
Katika hali ya kushangaza Mwanaume mmoja aliyehukumiwa kifungo cha miaka 47 jela amemshambuliwa Wakili wake mara baada ya kusomwa kwa hukumu hiyo
Shambulio hilo limesababisha Wakili Aaron...
07/02/2019 Marekani ilitangaza kufanya bisahara na Israel, bishara yenyewe ni kwamba, Marekani inataka kununua IRON DOME DEFENCE SYSTEAM.
=
Iron Dome ni mtambo maalumu kwaajili ya ulinzi wa angani...
Rais Hassan Rouhani wa Iran amezindua nyambizi ya kisasa iliyoundwa hapa nchini ambayo ina uwezo wa kusheheni makombora ya cruise.
Nyambizi hiyo iliyopewa jina la Fateh imezinduliwa katika...
Upinzani unaolidhibiti bunge la nchi Venezuela umeteuwa bodi ya mpito ya kampuni ya mafuta inayomilikiwa na serikali, ikiwa ni jitihada za kuingozi wa bunge hilo Juan Guaido kuidhibiti sekta ya...
Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa Sierra Leone(Julius Maada Bio) amesema "Ni lazima tisimame na kishughulia kwa haraka tatizo hili"
Rais huyo wa Sierra Leone amesema kikosi cha maaluma...
The world's biggest bee has been re-discovered, after decades thought lost to science.
The giant bee - which is as long as an adult's thumb - was found on a little-explored Indonesian island...
Ras Mgombea wa Urais, Chikomeni David Chirwa(41) ameibuka mjadala kwenye anga la siasa za Malawi baada ya kumpendekeza Mama yake mzazi, Niness Kayengo kuwa mgombea mwenza
Akieleza sababu za...
BBC News
menu
Is Africa going backwards on democracy?
By Dickens OleweBBC News
22 February 2019
Africa
Share this with Email Share this with Facebook Share this with Twitter Share this...
Mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya anapinga sheria zinazopendekezwa na Shirikisho la Riadha Duniani – IAAF kuhusu viwango vya homoni za testosterone kwa wanariadha.
Kesi hiyo katika...