Gerald Robert
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 337
- 219
07/02/2019 Marekani ilitangaza kufanya bisahara na Israel, bishara yenyewe ni kwamba, Marekani inataka kununua IRON DOME DEFENCE SYSTEAM.
=
Iron Dome ni mtambo maalumu kwaajili ya ulinzi wa angani kuhakikisha kwamba hakuna adui wa kuweza kukushambulia kutokea angani, Air Defence Systeam.
=
Marekani ilisema kwamba itanunua mitambo hiyo ya Iron Dome kutoka Israel kwaajili ya kuimalisha ulinzi wa anga kwa vikosi vyake vyote vilivyoko nje ya marekani.
=
Waziri mkuu wa Israel Bw Benjamini Netanyahu amesema kwamba, bishara hiyo itaipatia Israel oesa nyingi za kigeni, tena anajisikia fahari kubwa kufanya bishara ya zana za kijeshi na nchi ambayo ni rafiki mkubwa wa Israel.
=
JE, KUNANINI NYUMA YA BIASHARA HII?
Ifahamike kwamba, Israel na Iran wapo kwenye mvutano mkubwa sana ambapo kama watashindwa kumaliza tofauti zao kwa njia ya amani, basi huenda wakapigana vita ambayo itakuwa ni mbaya sana.
=
Wakati Iran ikiendelea kufanya mazoezi ya kijeshi kwa kurusha makombora na kuonyesha zana zao kijeshi huku wakijinasibu kwamba wanalo kombora la masafa marefu lenye kuweza kuipiga miji kama Tel av vivu, Haifa na Jerusalemu, Israel nao wamezindua mtambo mpya wa kudungua makombora ya masafa marefu na ya kati aina ya ARROW 3, israel wanayo mitambo mingine kama hiyo ambayo ni ARROW 1 na ARROW 2.
=
Israel wanajivunia saba ndege za zabkivita aina ya F-16, F-15, F-22 Raptor, na F-35, Iran nao wanayo ndege Sukhoi SU-57 ambayo imetengenezwa Urusi.
=
Bw Netanyahu pia ilifanya ziara ya ukaguzi katika ghara la mabomu ya nyuklia, huku akisemabkwamba, kombora la Barack 8 lenye uwezo wa kifika popote katika ardhi ya Iran, liba uwezo wa kibeba kichwa cha nyuklia.
=
Kauli mbiu ya Iran dhidi ya Israel ni kwamba, WATAIFUTA ISRAEL KATIKA RAMANI YA DUNIA, na jina Israel litabaki kuwa ni kumbumbu katika vitabu kama Biblia na vinginevyo, Iran waliwahi kutengeneza video yenye jina la "Horocaust" video hii inaonyesha namna israel itakavyo angamizwa kwa mabomu na kubakia magofu tu. (itafute Youtube utaiona)
=
kwa Upande wao Israel wanasema kwamba, watapambana na maadui wote wa israel bila kuangalia rangi zao na kuwaangamiza kabisa, na wameapa kuvishambulia vikosi vya jeshi ka Iran vilivyo Syria mpaka viondoke nchini syria.
=
Ukiangalia ramani ya vita iliyopo mpaka sasa ni kwamba Syria ndio nchi ya kimkakati, na mpaka sasa (wakati huu) tayari majeshi ya Iran yapo nchini Syria, na Nchi ya Syria inapakana na Israel, kwahiyo tunaweza kusema kwamba Tayari Iran wameahaisogelea Israel, na wamesharusha makombora mengi tu ndani ya Israel japo hayakuleta madhara kabisa kwakuwa makombora yote yalidunguliwa na na mtambo wa kudungua makora wa Irone Dome, na mengine yalikuwa Off Target, Israel pia ilijibu mapigo na kusababisha madhara vikiwemo vifo.
=
MALENGO YA BIASHARA YA MAREKANI NA ISRAEL.
Biashara hii waliyoitangaza marekani kwamba watanunua Iron Dome kutoka Israel, hii si biashara bali ni mpango wa kivita wenye kuinufaisha Israel (ikiwa vita baina ya Israel na Iran itapiganwa).
=
Marekani katika tangazo lao wamesema kwamba, wananunua Iron Dome kwaajili ya ukinzi kwa vikosi vyao nje ya marekani, lakini huu ni ujanja tu,
ukweli ni kwamba Mitambo hiyo ya Irone Dome marekani wataipeleka nchini IRAQ ili kuwasaidia Israel kuwapiga Iran kwakuwa IRAQ NA IRAN zinapakana, hivyo ni karibu sana kwa wao kuishambulia Iran hata kwa makombora ya masafa mafupi tu.
=
Janja hiyo Itawatesa sana Iran hawatafahamu kwasababu watakuwa wakishambuliwa pande mbili, (1) Kutokea israel kwa mashambulizi ya makombora ya masafa marefu, (2) kutokea Iraq kwa mashambulizi ya makombora ya masafa mafupi nabya kati.
=
Ifahamike kwamba, kama marekani ingekuwa iko serious kibiashara basi wangenunua ARROW 3 ambao ni bora zaidi kuliko hata Iron Dome, lakini pia marekani wanazo Air defence nzuri sana na zenye ubora kuliko hata hizo Iron Dome kama vile THAAD na PATRIOT, kwanini wanunue Iron Dome!
=
KWANINI IRAN INAWACHUKIA ISRAEL?
Katika miaka ya 1970-1990 israel ilikuwa ikifanya oparetion za siri za kuwaua wanasayansi ya Iran waliokuwa wanajihusisha na utengenezaji wa zana za kijeshi kama nyukilia nk, na waliwaua sana mpaka kuna wakati Iran ilikosa kabisa wanasansi katika program za nyukilia na kusababisha urutubishaji wa urenium kusimama.
=
Iran wana zana nyingi sana za kijeshi kuizidi Israel, lakini Israel ina jeshi bora ba nakini sana ndiomaana mipango yote ya iran huwa inajulikana kabla hawajatimiza malengo yao.
=
Israel iliwahi kutuma virusi vya Computer na kuharibu computer zote za serikali ya Iran, lakini pia Israel kudukua nawasiliano ya Iran imekuwa ni jambo la kawaida sana kwao, naana ni muhimu sana kwa Israel kufahamu habari za Iran kuliko hata mataifa mengine.
kwa Israel adui No1 sio shetani bali ni Iran.
Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app