12 wafariki kwa mafuriko Afghanistan

12 wafariki kwa mafuriko Afghanistan

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Mafuriko yaliyotokana na mvua za mfululizo yamesababisha vifo vya watu 12 nchini Afghanistan na uharibifu mkubwa wa mali
Mafuriko yaua 12 Kandahar nchini Afghanistan
Watu 12 wamepoteza maisha baada ya mafuriko yaliyotokea kusini mwa wilaya ya Kandahar nchini Afghanistan.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka ya wilaya ya Kandahar, mafuriko hayo yametokana na mvua kubwa ilionyesha kwa siku kazaa mfululizo.

Katika taarifa hilyo watu 18 walijeruhiwa kutokana na maji ya mafuriko. Taarifa hiyo pia imeeleza mafuriko hayo yameharibu nyumba laki 5 na elfu 75. Mamia ya watu waliokolewa kwa kutumia helikopta.

Taarifa hiyo imeongeza kwamba mamia ya wanyama wameangamizwa na mafuriko hayo. Mafuriko hayo pia yameharibu miundo mbinu hali iliyofanya baadhi ya vijiji kutofikika kwa hivi sasa.


TRT
 
Back
Top Bottom