Lebanon yamkamata jasusi wa Israel

Lebanon yamkamata jasusi wa Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel
Jan 23, 2019 07:53 UTC
Jeshi la Lebanon limemtia mbaroni ajenti wa Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) aliyehusika katika shambulizi la bomu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
Idara ya Intelijensia ya Jeshi la Lebanon imeripoti kuwa, wakala huyo wa Mossad alikamatwa juzi (Januari 21) katika eneo la Sharhabeel, katika mji wa Sidon, yapata kilomita 40 kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
Taarifa ya idara hiyo imemtaja ajenti huyo wa Israel kuwa ni Hussein Ahmad Batto, ambaye anadaiwa kuhusika katika shambulizi la bomu la kutegwa garini lililomjeruhi ofisa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mwaka jana.
Ajenti huyo wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba amekuwa akiifanyia kazi Mossad tangu mwaka 2014, na kuwa yeye pamoja na majasusi wawili wa Israel walihusika katika mauaji ya kigaidi ya Mohammed Hamdan Januari 14 mwaka jana.
Julai mwaka jana gazeti la Daily Mail la Uingereza liliripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Israel Mossad linaongoza duniani kwa kufanya mauaji ya kigaidi na kwamba katika kipindi cha miaka 10 tu iliyopita Mossad imefanya operesheni 800 za mauaji ya kigaidi ambazo zimepelekea kuuawa maelfu ya watu.
Tags
ISRAEL LEBANON

My take:Israel ni nembo ya ugaidi
4bsdc9e5d4d95e1cjk3_800C450.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...
kimsboy hivi umesikia Wapalestina hawataki tena misaada ya USA?
 
Taarifa ya idara hiyo imemtaja ajenti huyo wa Israel kuwa ni Hussein Ahmad Batto, ambaye anadaiwa kuhusika katika shambulizi la bomu la kutegwa garini lililomjeruhi ofisa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mwaka jana.
Kuna Myahudi anaitwa Hussein? Au ajent wa kukodi(pandikizi)? Au huyo ni Myahudi mwenye asili ya kiarabu?
 
Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel
Jan 23, 2019 07:53 UTC
Jeshi la Lebanon limemtia mbaroni ajenti wa Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) aliyehusika katika shambulizi la bomu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
Idara ya Intelijensia ya Jeshi la Lebanon imeripoti kuwa, wakala huyo wa Mossad alikamatwa juzi (Januari 21) katika eneo la Sharhabeel, katika mji wa Sidon, yapata kilomita 40 kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
Taarifa ya idara hiyo imemtaja ajenti huyo wa Israel kuwa ni Hussein Ahmad Batto, ambaye anadaiwa kuhusika katika shambulizi la bomu la kutegwa garini lililomjeruhi ofisa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mwaka jana.
Ajenti huyo wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba amekuwa akiifanyia kazi Mossad tangu mwaka 2014, na kuwa yeye pamoja na majasusi wawili wa Israel walihusika katika mauaji ya kigaidi ya Mohammed Hamdan Januari 14 mwaka jana.
Julai mwaka jana gazeti la Daily Mail la Uingereza liliripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Israel Mossad linaongoza duniani kwa kufanya mauaji ya kigaidi na kwamba katika kipindi cha miaka 10 tu iliyopita Mossad imefanya operesheni 800 za mauaji ya kigaidi ambazo zimepelekea kuuawa maelfu ya watu.
Tags
ISRAEL LEBANON

My take:Israel ni nembo ya ugaidiView attachment 1003596

Sent using Jamii Forums mobile app

TAIFA HARAM=NGURUWE/SHOGAS

Miyahudi mieusi inateseka sana kuona post za kimsboy zikiwaumbua, sasa mnataka apost taarifa za UONGO?

.Poleni sana, endeleeni kuumia tu.
 
Yeah Wenzetu wana msimamo, sio kama ninyi mkisikia myahudi kauawa mnateseka nyie mlioko tanganyika. Hii ngozi nyeusi haina thamani kwa myahudi,acheni kujipendekeza.
Weye na jamaa yako muache chuki dhidi ya binadamu wengine.Mnaendeshwa na hisia kali kila wakati.Muwe wapole hamna la kuwafanya hao Waisrael!
 
Nikuulize mkuu, huwa munajickiaje haya mataifa mawili israel na usa yanapofanya mauwaji dhidi ya waislamu/waarabu! Nachoona hapa 100% huwa munafurahia sana sana wanaposhambuliwa na hili liko wazi kabisa, lakini wapo baadhi ya wakristo hapa duniani wenye kujitambua wakilaani/pinga mauwaji haya. Inasikitisha sana.

Ushauri wangu acheni chuki dhidi ya waarabu na waislamu kwa ujumla.

Israel na marekani 2nawachukia sana tena sana kwa sababu ya dhulma yao na unyanyasaji dhidi ya waislamu.
 
Hakuna binadamu mwenye akili njema na utashi anayeweza kufurahia kuona binadamu wengine kuuliwa hovyohovyo kwa sababu zinazozungumzika.Hoja inakuja:Mmoja mbabe ambaye hurudisha mashambulizi na mnyonge mchokozi.
 
Taifa Haramu? Radicalization hii mabomu unaweza beba Aiseee,maana mwandiko unaonyesha sumu kali
 
Nikuulize mkuu, huwa munajickiaje haya mataifa mawili israel na usa yanapofanya mauwaji dhidi ya waislamu/waarabu! Nachoona hapa 100% huwa munafurahia sana sana wanaposhambuliwa na hili liko wazi kabisa, lakini wapo baadhi ya wakristo hapa duniani wenye kujitambua wakilaani/pinga mauwaji haya. Inasikitisha sana.

Ushauri wangu acheni chuki dhidi ya waarabu na waislamu kwa ujumla.

Israel na marekani 2nawachukia sana tena sana kwa sababu ya dhulma yao na unyanyasaji dhidi ya waislamu.

Sasa kwanini na nyinyi msiwanyanyase hao waarabu?au allah hajapenda?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom