March 15, 2019
Christchurch, New Zealand
Reports that several people have been injured and many fatalities after shootings near a mosque in Christchurch, New Zealand. Local schools are in...
Kuna sehem muhimu hii photo imepatikana na kusemekana kwamba ndo ndege ya Ethiopia iliyopata ajali, lakin kabla hatujajiaminisha zaid kwamba ni yenyewe,
Kisanduku kimepatikana saa saba mchana kwa...
A family lost five members in the Ethiopian Airlines crash. One had a premonition about the flight
By Briana Duggan, Faith Karimi and Farai Sevenzo, CNN
Updated at 7:17 AM ET, Thu March 14, 2019...
(CNN)Three hours into a Hawaiian Airlines flight from Honolulu to New York this week, the captain came over the loudspeaker and asked if there were any doctors on board. A flight attendant was...
RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amewasamehe wafungwa 700 wa kisiasa waliofungwa jela na utawala wa mtangulizi wake, Joseph Kabila.
Tshisekedi alisaini amri ya...
Marekani yazuia mashirika ya umma kutumia vifaa vya kampuni kubwa ya simu Huawei.
Kampuni ya simu ya Huawei kutoka nchini China imeifungulia kesi serikali ya Marekani, baada ya kuzuia mashirika ya...
Taarifa za uchunguzi wa awali zimeonyesha ndege ya lion air Boeing 737 max 8 ambayo ni mpya kabisa ikiwa na miezi michache toka kiwandani iliyoanguka juzi na kuua watu 189 ilikuwa na tatizo la...
Bunge la Uingereza laukata mpango wa nchi hiyo kujitoa ndani ya Umoja wa Ulaya uliowasilishwa na Waziri Mkuu, Theresa May
May anashindwa kulishawishi Bunge zikiwa zimesalia siku 17 kabla ya...
At least 10 people have died and many more are feared trapped after a building containing a school collapsed in the Nigerian city of Lagos.
The school, which was on the top floor of the...
Rais wa Sudan, Omar al-Bashir ameiteua serikali mpya baada ya miezi kadhaa ya maandamano.
Bashir ambaye waandamanaji wanamtaka ajiuzulu, mwezi uliopita alitangaza hali ya hatari kwa muda wa mwaka...
Boeing 737 Max: Kampuni ya Marekani inayotengeneza ndege iliyoanguka Ethiopia yasitisha matumizi ya ndege zote aina hiyo
Kampuni ya Boeing Marekani inayotengeneza ndege iliyoanguka Ethiopia...
Marekani itawaondoa wafanyakazi wake wote wa ubalozi waliobakia nchini Venezuela. Amesema hayo waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo kwa njia ya Twitter.
Waziri Pompeo ameeleza kuwa...
Karibu watu wanane wameuawa katika shule moja ya msingi nchini Brazil ambapo wanaume wawili walionekana wakiingia kwenye jengo hilo na kuanza kufyatua risasi mapema leo.
Polisi mjini Sao Paolo...
WANAUME wawili waliachiliwa huru na mahakama ya Italia kwa makosa ya kumbaka mwanamke, baada ya majaji kuamua kuwa mdhulumiwa ana ‘uanaume wa kimaumbile’ na hivyo hangevutia mbakaji.
Wawili hao...
Jaji Mkuu wa mahakama moja nchini Australia, Peter Kidd amemuhukumu kifungo cha miaka sita gerezani Kardinali George Pell baada ya kukutwa na hatia ya kuwanyanyasa kingono wavulana wawili...