Mauji ya kutisha msikitini Newzealand.

Mauji ya kutisha msikitini Newzealand.

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,798
Reaction score
9,735
Zaidi waumini thelathini wauawa msikitini wa kisali sala ya ijumaa. Washukia wanne wakamatwa.
 
Dunia imekua mahali hatari pa kuishi lakini hii yote faida yake nini? Duniani hapa huishi milele ni siku chache sana mtu anaspend duniani kuliko siku atazo spend eternity,

Utashangaa kuna jamii nyingine zinahamasisha mauaji ya watu wanaotofautiana mitazamo kwa kutumia resources nyingi lakini huko wanapoenda hata hawapajui
 
Hawa walioua ,ni magaidi wasio na dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom