Jun 01, 2019 04:02 UTC
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran havitaishia katika mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu bali vitawasha moto katika eneo zima...
Rwanda ni kati ya nchi 3 zinazo ongoza kwa kupewa misaada duniani.
Ukimsikia kagame unaweza dhani rwanda huwa inatoa misaada.
Majigambo mengi sana .. utasikia tunajenga kwa fedha zetu.
Watu wapatao 13 wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa ikiwemo afisa wa polisi hapo Ijumaa katika shambulio la risasi kwenye jengo la serikali mjini Virginia Beach, Marekani.
Mkuu wa polisi Kames...
1 Juni 2019
Kiongozi wa zamani wa waasi wa Unita nchini Angola, Jonas Savimbi, anazikwa tena miaka 17 baada ya kifo chake.
Maelfu ya wapiganaji wa zamani wa Unita waliokuwa wamevalia T-shirt...
Raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamekusanyika katika uwanja wa ndege wa mki mkuu Kinshasa kwa ajili ya kuupokea mwili wa kiongozi wa upinzani, Etienne Tshisekedi ambaye pia ni baba wa...
From Richard M Nixon, who resigned following the Watergate scandal, to the impeached Andrew Johnson
Here are five of America’s most disreputable presidents…
Number One: Richard M Nixon...
Nchi ya Burundi inatishia kusitisha ushirikiano na mjumbe maalumu wa umoja wa Mataifa kwa nchi hiyo, utawala wa Bujumbura ukieleza kutoridhishwa na namna mjumbe huyo amekuwa akiingilia masuala...
UN Photo/Pernaca Sudhakaran
A homeless man sits at the
steps of a store in lower east side, Manhattan, New York City.
The number of Americans living in poverty and the already high income...
Virginia Beach: Watu 12 wameuawa kwa kupigwa risasi katika jumba la serikali Marekani
1 Juni 2019
Watu 12 wameuawa na wengine sita kujeruhiwa katika ufyatulianaji wa risasi uliofanyika katika...
Netanyahu apata pigo la kihistoria, uchaguzi mpya waitishwa Israel
Mei 30, 2019 11:27 UTC
Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, Knesset, limepiga kura ya kujivunja baada ya waziri mkuu Benjamin...
Mkataba wa biashara huria kwa bara la Afrika hatimaye umeanza kufanya kazi Alhamisi ya wiki hii, hatua ambayo umoja wa Afrika unasema una imani kuwa utapanua zaidi soko la bara la Afrika lenye...
Sudan's military rulers have said a protest camp in the capital has become a threat to the country's national security, while also ordering the office of the Al Jazeera Media Network in Khartoum...
Russia kutuma wataalamu wa kijeshi nchini Kongo DR
Mei 29, 2019 02:31 UTC
Serikali ya Russia imetangaza kuwa imeazimia kutuma wataalamu wake wa kijeshi huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa...
Tofauti na waarabu ambao wanapumua chuki dhidi ya Taifa la Mungu
Wenzao Israeli hujibu hujibu ubaya kwa wema
Picha ni mwanajeshi wa Israel akimsaidia kikongwe kwenda mskitini kuswali
Mungu...
Je nini hatima ya North Korea?
Je USA wataamua nini?
Je Russia na China watasema nini??
Tanzania tumejiandaaje incase vita vikitokea huko kwa hawa jamaa??
Naona baada ya kombora tu, shilingi...
Some 1.8 million Israelis, including 842,300 children, were living in poverty in 2016, according to new figures released by the National Insurance Institute this month.
The poorest region in the...
Takataka hizo ziliingizwa kati ya mwaka 2013-2014 kwa kile kilichoelezwa kuwa ni malighafi kwa ajili ya kuchakatwa na kutengenezea bidhaa mpya
Mwaka 2016 Mahakama iliamua kuwa takataka hizo...
Askofu mkuu wa Kanisa Katoliki huko California ameapa kutoitii sheria mpya inayotarajiwa kupitishwa ya kuwataka mapadre kutoa taarifa kwa mamlaka za dola juu ya uhalifu kwa watoto wadogo kwa...
Mtu ananyongewa uwanja wa ndege anapowasili tu bila hata kumpa nafasi ya kujitetea. Sawa na wanaotumbuliwa kwenye mikutano, bila kuwapa nafasi za kujitetea...
Mwanaume mmoja raia wa Japan, Udo N amefariki akiwa anasafiri kwenye ndege iliyokuwa inatoka Mjini Mexico kuelekea Japan, baada ya kumeza paketi 246 za #DawaZaKulenya aina ya Cocaine
Ndege hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.