Mwanajeshi wa Israel akionesha matendo ya huruma kwa waislam

Status
Not open for further replies.

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Tofauti na waarabu ambao wanapumua chuki dhidi ya Taifa la Mungu
Wenzao Israeli hujibu hujibu ubaya kwa wema

Picha ni mwanajeshi wa Israel akimsaidia kikongwe kwenda mskitini kuswali

Mungu ibariki Israel
 
IMG_20190531_173844.JPG

Atakaye kubariki...
 
Endeleeni kutetea ukatili wanaoufanya hawa killers. Washauwa watoto, vikongwe na wazee na hawa hawa unaowadhani wanaroho nzuri. Hakuna mjeshi ama raia mwenye roho mbaya kama waisraeli. Watu hawa washalaaniwa karne na karne, hivyo laana hiyo bado inaendelea kuwatesa mpaka Umauti/Qiyamah kitakaposimama, na ndio mana all the time ni watu wenye wasiwasi.
 
Lini Israel akawa na wasiwasi we kiazi
Endeleeni kutetea ukatili wanaoufanya hawa killers. Washauwa watoto, vikongwe na wazee na hawa hawa unaowadhani wanaroho nzuri. Hakuna mjeshi ama raia mwenye roho mbaya kama waisraeli. Watu hawa washalaaniwa karne na karne, hivyo laana hiyo bado inaendelea kuwatesa mpaka Umauti/Qiyamah kitakaposimama, na ndio mana all the time ni watu wenye wasiwasi.
IMG_20190531_181851.JPG

Angalia watu wanakula bata na wavaa vipedo wanaoleta chokochoko wanakula kichapo
IMG_20190531_181932.JPG

Hofu ipo Iran huko
IMG_20190531_181951.JPG

Watu wanakula maisha huko Israel na hakuna wakunusa
 
Ni kweli uyahudi na ukristo ni dini moja na wote mwokozi wao ni yesu.............ila kweli hata wasabato na wakatoliki wanatumia Bible moja ila msabato hali nguruwe,pombe haramu,yeye hadi alewe ndio pombe inakua haramu
Fahamu tu wakristo na wayahudi wanatumia kitabu kitakatifu kimoja Bible

Hao wanaoitwa waislam ni masalia
 
Hahaha karibu kwa Yesu mkuu kuna raha wacheni kutembea na majambia kwenye kanzu pia muache kujilipua

Angalia Taifa la Mungu linavyopendeza
Ni kweli uyahudi na ukristo ni dini moja na wote mwokozi wao ni yesu
IMG_20190531_190203.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom