Urusi kutuma wataalam wa kijeshi DRC

Urusi kutuma wataalam wa kijeshi DRC

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Russia kutuma wataalamu wa kijeshi nchini Kongo DR
Mei 29, 2019 02:31 UTC
Serikali ya Russia imetangaza kuwa imeazimia kutuma wataalamu wake wa kijeshi huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kuimarisha uwepo wake wa kijeshi barani Afrika.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars, lengo la Russia la kuamua kutuma wataalamu wake wa kijeshi huko Kongo DR ni kuandaaa mazingira ya kukamilishwa upelekaji wa zana za kijeshi ambazo nchi hiyo imenunua kutoka kwa Russia sambamba na kushughulikia ukarabati na usimamiaji wa vifaa hivyo.
Wiki iliyoipita serikali za Kinshasa na Moscow zilifikia makubaliano ya kutumwa wataalamu wa kijeshi wa Russia huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kazi za ukarabati na usimamiaji wa zana na vifaa vya kijeshi ambavyo Russia iliiuzia Kongo miaka mingi iliyopita.
Inasemekana kuwa, hatua hiyo imechukuliwa ili kufungua mlango wa ushawishi wa Russia katika bara zima la Afrika na pia kuanzia Bahari Nyekundu hadi katika Bahari ya Atlas.
Wataalamu wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa, juhudi za Russia za kujiimarisha kijeshi huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinafanyika kwa malengo makubwa ya kiistratijia ya Moscow ya kutaka kuwa dola kubwa barani Afrika na Asia na kuanza vita vipya baridi ulimwenguni ili kurejesha hadhi ya Umoja wa Kisovieti kwa Russia.
Tags
RUSSIA
JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO
 
Iran inasemaje juu ya hili?
Kumbe ndio maana Marekani na washirika wake wameanza kupiga porojo za uwepo wa IS nchini Congo, behind the scene ni ushawishi wa Russia kwenye hio nchi yenye utajiri wa madini barani Africa.
Vikundi vyote vya kigaidi ni ngome ya marekani ya kulinda unyonyaji wa maliasili ya nchi husika.
 
congo inakuwa masikini sababu ya wacongo wenyewe, wanahatarisha amani then serikali zinalazimika kuleta usaidizi wa kijeshi wa nje ambao ni ghali hatimae nchi inakufa,
 
Ni vizuri zaidi na ingekuwa jambo la mbolea kama Russia ingeitawala Congo kikoloni maana mijitu meusi hii haina akili kabisa!
Mijitu meusi ingekuwa kweli haina akili basi watu weupe kule Marekani wasingekubali kuongozwa na mtu meusi(Obama).
 
Ni vizuri zaidi na ingekuwa jambo la mbolea kama Russia ingeitawala Congo kikoloni maana mijitu meusi hii haina akili kabisa!
Sawa jitu jeupe lenye akili
Katika mijitu meusi isiyo na akili mama yako, baba yako, bibi zako, babu zako dada zako,kaka zako na ndugu wengineo pia wamo humo kwa maana na wao ni sehemu ya mijitu meusi isiyo na akili,bila kusahau na zaidi ya 80% ya members humu nintutakuwa mijitu meusi tusio na akili kwa maana zaidi ya 80% humu ni kuna uezekano wakawa WaAfrica
 
Kutokuwa na akili sio tusi, ni FACT!

Ukiwa kilema na ukaitwa kilema hauwezi kusema umetukanwa, maana umepewa ukweli wako. Umeelezwa makavu yako! Sasa kumbe ulitaka uitwe nani?

Congo is one of the richest countries in Africa! It has abundance of natural resources, ample fertile lands, water and everything; YET, IRONICALLY, IT IS THE POOREST COUNTRY IN THE WORLD!

Watu wanakufa kwa njaa, civil wars, taharuki, unemployement, zero education, zero infrastructure, zero housing, afya duni, magonjwa, ebola, unyafuzi, umasikini, udikteta! A TOTAL SHITHOLE!
 
Wafrika hatupendi kukosolewa. Utasikia ooh, atumie maneno ya staha, sijui mini. Acheni ukweli usemwe tu, hata tukijidai kutokusema Kongo haiwezi kuwa Singapore. P
 
Mijitu meusi ingekuwa kweli haina akili basi watu weupe kule Marekani wasingekubali kuongozwa na mtu meusi(Obama).
Obama ana advantage ya kuwa chotara! Ndio maana ilifika hatua akiharibu, wazungu walikuwa wanamshutumu kuwa 'kipande' chake cha Uafrika ndio kinaleta nuksi.... Lakini akifanya vizuri wanasema 'kipande' chake cha uzungu kimeleta baraka!

Racism is real!! sasa nenda na hiyo ngozi yako nyeusi uone kama hujatupiwa maganda ya ndizi!
 
Siwazingumzii hao wabaguzi maana ubaguzi hata mweusi anaweza kumbagua mweusi mwenzie kuwa mweusi sana,Obama ni mtu mweusi tu navpamja na hivyo bado aliweza rais wa watu weupe.
 
Mimi ni mweusi na nakubali kuwa tuna laana ujinga ukitaka kujua angalia Maprof na Ma PhD holder wetu wanachofanya kwenye utawala huu eg utakuta uchumi wa nchi unakufa na hali halisi inareflect lakini utakuta jitu somi linakwambia uchumi unakuwa kwa kasi! Sasa kama sio laana ni nini?
 
Congo inachangiwa kama mpira wa kona.hapo warusi wanafuata Mali asili hakuna cha ulinzi wala nini
 
Siwazingumzii hao wabaguzi maana ubaguzi hata mweusi anaweza kumbagua mweusi mwenzie kuwa mweusi sana,Obama ni mtu mweusi tu navpamja na hivyo bado aliweza rais wa watu weupe.
What are you talking about?
 
Mimi ni mweusi na nakubali kuwa tuna laana ujinga ukitaka kujua angalia Maprof na Ma PhD holder wetu wanachofanya kwenye utawala huu eg utakuta uchumi wa nchi unakufa na hali halisi inareflect lakini utakuta jitu somi linakwambia uchumi unakuwa kwa kasi! Sasa kama sio laana ni nini?
Tulifanya nini hadi tukapewa laana?
 
Back
Top Bottom