Mahakama nchini Mali imemhukumu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Moussa Mara, kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kuchapisha ujumbe wa mtandaoni uliodaiwa kukosoa mamlaka ya serikali na kuunga...
Marekani imeshuka hadi karibu na nafasi za mwisho katika Orodha ya Amani ya Dunia ya mwaka 2025 (Global Peace Index), ikishika nafasi ya 128 kati ya mataifa 163, kwa mujibu wa ripoti mpya kutoka...
Nipo mitaa ya jijini Nairobi nikibarizi habari za hapa na pale na leo nimepata kusikia tetesi za Raisi Ruto kufikiria kumteua bwana Gideon Moi kuwa makamu wa waziri mkuu wa Kenya. Bwana Gideon ni...
Ivory Coast ilifanya uchaguzi wa urais Oktoba 25,2025, uchaguzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu lakini pia kwa hofu kutokana na misukosuko ya kisiasa iliyoikumba nchi hiyo wiki kadhaa kabla ya...
Miezi miwili kabla ya 'mapinduzi', plans zilitangazwa za kujenga chuo kikubwa sana kilichopewa jina la Robert Mugabe University.
Siku chache tu kabla ya 'mapinduzi' kuna main road/highway muhimu...
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, amefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa jeshi huku nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikiendelea kukabiliana na ongezeko la vurugu kaskazini na changamoto nyingi za...
Rais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni mkuu wa nchi mzee zaidi duniani, ameshinda tena uchaguzi wa urais kwa muhula wa nane, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyotangazwa leo...
Mamlaka ya Usimamizi wa Mtandao wa China (Cyberspace Administration of China) imeweka masharti kwa washawishi mtandaoni pamoja na mitandao mikubwa ya kijamii nchini humo.
Huu mpango umependekezwa...
Uholanzi walikuwa na kampuni ya inayoitwa Nexperia ya kutengeneza semiconductors ambayo ilikuwa inaelekea kufirisika.
Wakaja wawekezaji wa Kichina kampuni ya Wingtech Technology Co wakainunua...
Takriban watu wanne wameripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya upinzani yaliyofanyika Jumapili Oktoba 26, 2025 mjini Douala, Cameroon, ambapo Waandamanaji walikuwa wakilalamikia...
Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah
Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, amemfuta kazi Natangwe Ithete kutoka nyadhifa zake za Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Viwanda, Madini na Nishati...
Maelfu ya waandamanaji walimiminika mitaani jijini Douala, mji mkuu wa kiuchumi wa Cameroon, siku ya Jumapili Oktoba 26, 2025 wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na kiongozi wa upinzani, Issa...
Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan...
Kutoa tamko kwa kukurupuka na bila kufanya uchunguzi au kusikiliza upande unaotuhumiwa ni uhuni kama uhuni mwingine.
Hata D.Trump anaziona hizi jumuia za kimataifa kama magenge ya wahuni tu.
Netanyahu kwa Habari za CBS:
"Tulikubaliana kutoa nafasi ya amani. Masharti ya mpango wa pointi 20 yako wazi sana. Sio tu kwamba tunawatoa mateka, lakini pia kuhusu kuwapokonya silaha na...
🔴IDF imewaangamiza magaidi waliohusika na utekaji nyara wa Noa Argamani, Avinatan Or, na Eitan Mor kwenye tamasha la muziki la Nova.
Sasa inaweza kufichuliwa kwamba magaidi wanane waliojipenyeza...
Baada ya Uingereza kuru huku wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na Asia kuingia nchini na kuwapa hifadhi kwa kisingizio kuwa kwao wananyanyaswa sasa wahamiaji hao wamebadirisha MFUMO mzima wa maisha...
Mamlaka ya Mauritius imemkamata msaidizi wa Rais wa zamani wa Madagascar Andry Rajoelina kwa tuhuma za utakatishaji fedha.
Maminiaina Ravatomanga, ambaye alikimbilia Mauritius baada ya Rajoelina...
Wahouthi bado wanaendelea kuhangaika Kuficha vifo vya viongozi wao!!
Gazeti la Yemeni Defense Line linaripoti kwamba Wahouthi wanajiandaa kutangaza vifo vya viongozi kadhaa wakuu, waliouawa na...