Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 357
- 660
Jamani naomben msaada kwa wanaojua process za kufatilia mpk mtu upate passport ya kimataifa
Nulikosea passport ndo namaanisha...sorryMkuu vipi mbona unachanganya habari?Unataka visa ya Kimataifa au Passport?Wajuzi watakujibu.
Asante....ila Maelezo ya nn ayo unayomaanisha?Kama ni passport: andaa cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa, cheti cha kuzaliwa cha mmoja wa wazazi wako au mbadala wake, 150,000, na maelezo yalionyooka. Passport umepata.
Ukienda na documents zako lazima uwe na maelezo ya kuzihami. Kuna interview pia.Asante....ila Maelezo ya nn ayo unayomaanisha?
Kama ni passport: andaa cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa, cheti cha kuzaliwa cha mmoja wa wazazi wako au mbadala wake, 150,000, na maelezo yalionyooka. Passport umepata.
Inaruhusiwa hata kama una namba tuUkiwa na namba tu ya kitambulisho inakuwaje
Hapo sijui.Ukiwa na namba tu ya kitambulisho inakuwaje