International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ramaphosa ambaye ni Rais wa Africa kusini hafai kuendelea kuwa kiongozi
5 Reactions
74 Replies
10K Views
Hii ndio njia pekee ya kudhibiti na kuondoa kabisa ubaguzi na mauaji ya wageni nchini Africa kusini , kabla ya kuendelea naomba kukiri kwamba mimi binafsi nina masilahi na yanayoendelea S.Afrca...
2 Reactions
4 Replies
898 Views
Afrika Kusini imezifunga balozi zake mjini Abuja na Lagos baada ya kutokea kwa mashambulizi ya kulipiza kisasi, kufuatia vitendo vya kibaguzi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Kusini...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Polisi wanasema kila baada ya masaa 3 mwanamke mmoja anauwawa kwa kubakwa au vyovyote huko Afrika Kusini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu moto usipozimwa mapema Afrika kitanuka, kwanza Msouth yeyote popote alipo kwenye haya mataifa ya Afrika anaishi kwa wasiwasi akiomba asitolewe kafara, yaani unaishi ugenini ndani ya watu au...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaigeria wenye hasira kali wameanza kulipiza kisasi kwa kile walichofanyiwa wenzao huko SA kwa kuvamia shoprite supermarket iliyopo Lagos. Baada ya fujo zilizotokea nchini Afrika Kusini kwa...
6 Reactions
135 Replies
16K Views
I stand up to be counted , as one of the many Africans the stood up to condemn the killings of "foreign Africans" in South Africa, and in a barbaric manner too. This wanton and barbaric killings...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Wadau nadhani nyote mnafahamu nini kinachoendelea huko south Africa. Hakuna kiongozi hata moja aliyefukuzwa kazi au ofisa wa polisi kutokana na unyama unaofanywa na Raia ya huko kwa Waafrika...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakuu huko Nigeria na wenyewe wanajibu mashambulizi.
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Ujue mabadiliko ya ndani yanahitaji zaidi nguvu ya ndani kuliko ya nje, sana sana haya manrno " Stop Xenophobia" yatawafanya wapunguze jeuri ya kufanya ukatili hadharani, badala yake itakuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Watu mliopo South Africa na maeneo mbalimbali, je hii video ina ukweli wowote au ni kutisha tu watu?
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Binafsi inanisikitisha sana kuona Nchi kama south Africa ambayo Mataifa ya Africa yaliisaidia kupata uhuru, leo hii hao hao ndo wamekuwa wakipora na kuua waafrica wenzao. Nelson Mandela...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
RAIS wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amezitaka Wizara zinazoshughulika na masuala ya ulinzi na usalama kuhakikisha wanaangaza katika matukio ya kikatili yaliyowalenga wageni nchini humo ikiwa ni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Balozi wa China nchini Burundi Bw. Li Changlin na waziri wa mambo ya nje wa Burundi Bw. Ezechiel Nibigira wamesaini hati ya makabidhiano ya jengo la Ikulu ya Burundi lililojengwa kwa msaada wa...
3 Reactions
69 Replies
13K Views
#BREAKING_NEWS intercape bus has been burnt in Malawi after the Malawians heard that their fellow citizens were being killed in South Africa
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Watu wanaoona mbali kama Tariff man Trump walishayaona haya ya SA miaka mingi na kuweka wazi kua hiyo nchi sio salama kuishi kwa binadamu
2 Reactions
5 Replies
1K Views
wananchi wa zambia na wao wameamua kuandamana na kuvamia mall zinazo milikiwa na wa south video [emoji116][emoji116]
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais wa Iran Hassan Rouhani leo ameondowa uwezekano wa kufanya mazungumzo yoyote ya moja kwa moja na Marekani na kutishia kuchukua hatua zaidi ya kupunguza ushirikiano wa Iran katika makubaliano...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wabunge walioasi kutoka chama tawala cha Conservatives pamoja na wale wa vyama vya upinzani wameishinda serikali ya Uingereza katika awamu ya kwanza ya kuzuia Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya (EU)...
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Nimesikia kwenye habari za dunia Leo jioni kuwa, Serikali ya Nigeria imemuita nyumbani balozi wake nchini Afrika Kusini kufuatia vurugu kubwa katika jijj la biashara, J'bug ambapo baadhi ya...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom