Uwezo wa Iran wa kujihami angani umemfanya adui akate tamaa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Uwezo wa Iran wa kujihami angani umemfanya adui apoteze matumaini
Sep 01, 2019 11:25 UTC
Brigedia Jenerali Alireza Sabahi Fard, Kamanda wa Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Khatamul Anbiya (SAW) cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akizingumza katika mkesha wa 'Siku ya Ulinzi wa Anga' ameashiria mafanikio ya Iran katika sekta ya ulinzi wa anga na kusema: "Uwezo wa Iran wa kujihami angani umemfanya adui apoteze matumaini."
Septemba Mosi, ni siku kilipoanzishwa Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Khatamul Anbiya (SAW) cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Siku hii huadhmishwa kama 'Siku ya Ulinzi wa Anga' nchini Iran.
Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba huu na kusema: "Utekelezaji wa kazi muhimu na yenye kuletea nchi fahari ya kufuatilia kwa karibu kila aina ya harakati iliyo kinyume cha sheria katika anga ya nchi, na kutoa onyo yenye taathira na kwa wakati kwa maajinabi, ni mafanikio yaliyotokana na ushirikiano wa karibu wa majeshi yote ya Iran kikiwemo Kituo cha Ulinzi wa Anga. Kuwepo ushirikiano huo katika mfumo wa ulinzi wa anga kumemfanya adui asindwe kujipenyeza katika anga ya nchi." Taarifa hiyo imesisitiza kuwa, uwezo huo umekuwa na nafasi athirifu katika kuimarisha uwezo wa nchi ya kujihami na kuzuia hujuma.
Ili kudumusha usalama wake, Iran imekuwa ikiimarisha uwezo wake wa ulinzi kwa mujibu wa aina ya vitisho inavyokabiliana navyo. Kwa msingi huo, hii leo Iran inamiliki mifumo ya kisasa kabisa ya kujihami angani ambayo imetengenezwa ndani ya nchi na ambayo ina uwezo wa kushindana na ile ya madola yanayodai kuwa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi.
Utumiaji wa teknolojia za kisasa kabisa katika kuunda mifumo ya kujihami angani yenye kasi kubwa ni nukta ambayo imemefanya vigumu na hata jambo lisilowezekana kwa adui kujipenyeza katika anga ya Iran.
Ripoti ya ' Taasisi ya Rand na Chuo cha Vita cha Jeshi la Majini la Marekani' imekiri kuwa, anga ya Iran inalindwa kwa mbinu za kisasa kabisa za ulinzi wa angani.
Kuundwa Mfumo wa Kujihami Angani wa Bavar 373 ni kati ya mafanikio ya hivi karibuni ya Iran katika uga huu na ni nchi chache sana duniani zenye uwezo wa kuunda mfumo kama huo.
Uwezo wa Iran wa kujihamu angani umethibitika kuwa uliofika kiwango cha juu cha ustawi. Hatua ya hivi karibuni ya Iran ya kutungua drone yaani ndege isiyo na rubani ya kisasa kabisa ya Marekani ambayo ilikuwa imekiuka anga ya Iran kwa malengo ya kijasusi ni mojawapo ya mafanikio hayo.
Itakumbukwa kuwa tarehe 20 mwezi Juni mwaka huu ndege ya ujasusi ya RQ-4 Global Hawk ya Marekani na baada ya kukiuka anga ya Iran karibu na Kouh-e-Mobarak katika eneo la Jask mkoani Hormozgan kusini mwa Iran, ilitunguliwa na kikosi cha anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Kanali ya televisehni ya CNN iliripoti kuhusu tukio hilo na kuandika: " Marekani imepata somo muhimu baada drone yake kutunguliwa ikiwa angani."
Katika ripoti iliyoandikwa na Nick Paton Walsh, chini ya anwani ya 'Kutunguliwa drone ya Marekani inayogharimu dola milioni 110, kunatufahamisha nini kuhusu Iran? Ameandika: "Tukio hilo limeonyesha wazi kuwa Iran imeweza kuimarisha uwezo wake wa kijeshi."
Jeremy Binnie mtaalamu wa masuala ya Asia Magharibi na Afrika Kaskazini ameandika makala katika jarida la kijeshi la Jane's Defence Weekly na kuashiria uwezo wa Iran wa kujihami angani na kuandika: " Tukio hilo linaonyesha vizuri kuwa, wakati Wairani wanapowekeza katika jambo fulani, basi jambo hilo linaweza kutegemewa. Hilo tumeliona katika makombora yao ya balistiki na sasa ukweli huo umebainika katika mfumo wa Iran wa kujihami angani."
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haijawahi kuanzisha vita katika kanda hii au nje ya eneo hili lakini iwapo itatishwa au kukabiliwa na hujuma ya kijeshi, basi italinda usalama wake kwa nguvu.
Kwa msingi huo Iran imeunda mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi wa angani yenye uwezo mkubwa kwa kutegemea sifa za kijiografia za nchi. Mifumo ya kisasa ya kujihami angani ya Iran imeonyesha uwezo wake kwa kukabiliana na adui kivitendo na pia katika maonyesho ya kijeshi.
Meja Jenerali Mohammad Baqeri, Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran katika hotuba yake katika kongamano la 'Nafasi ya Nguvu za Kujihami Angani katika Uwezo wa Kitaifa' alisema:" Katika suala la kuimarisha uwezo wa kijeshi wa kujihami angani, hakuna shaka kuwa, ustawi huu unapaswa kuwa kwa njia ambayo adui asithubutu kukiuka anga ya nchi na kuhatarisha usalama waetu."
Kile kilichowazi ni kuwa, kuimarisha uwezo wa kujihami angani ni moja ya malengo ya kistratejia katika sera jumla ya Iran ya kujijami. Uwezo wa kujihami angani umepelekea adui ajizuie kutekeleza hujuma yoyote dhidi ya Iran. Ni kwa sababu hii ndio maadui wakawa wanafuatilia kwa karibu sana ustawi wa Iran katika nyanja za kujihami angani.
4bsj2517e0be2d1g6fm_800C450.jpeg
 
Kile kilichowazi ni kuwa, kuimarisha uwezo wa kujihami angani ni moja ya malengo ya kistratejia katika sera jumla ya Iran ya kujijami. Uwezo wa kujihami angani umepelekea adui ajizuie kutekeleza hujuma yoyote dhidi ya Iran. Ni kwa sababu hii ndio maadui wakawa wanafuatilia kwa karibu sana ustawi wa Iran katika nyanja za kujihami angani.View attachment 1196429
Ukulele Syria akajirinde Heidi ya mashambuli ya Israel,
 
Sawa mtangazaj wa radio na tv imaani ya moro, si ungehamia huko kwa wavaa vipedo? Sie tunahangaika na ndege yetu kukamatwa south wewe all the time ni kwa hao walopagawa Iran dichupidiiii
 
hapo iran,ikitumwa ndege moja tu,ya marekani ya B-2,ifanye yake,dunia nzima itakuwa ni msiba mkubwa sana...
 
Back
Top Bottom