International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Watu wenye silaha wamewafyatulia risasi Walinzi katika Kituo kimoja cha ukaguzi cha barabarani na kuwaua Wafanyakazi 15 wa kujitolea na kujeruhi wengine watano Kwa mujibu wa Kanali wa Jeshi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Marekani imesema inaweka vikwazo kwa raia tisa waliopo karibu na Kiongozi Mkuu wa Iran ambao wanaukaribu na kiongozi mkuu wa nchi hiyo Ali Khamenei. Wizara ya Fedha ya Marekani imesema watu tisa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais Donald Trump, amethibitisha kuwa Abu Bakr al Baghdad aliyejiua yeye mwenyewe, amesema kuwa amekufa kama Mtu muoga na kama Mbwa Amejiua kwa mabomu aliyokuwa ameyavaa mwilini mwake. Washirika...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanahabari Wanawake 2 wamelalamikia kitendo hicho walichofanyiwa na Mkurugenzi wa Habari wa Jeshi la Sudan Kusini, Malaak Ayuen Tukio hilo limetokea katika Mkutano wa Jeshi na Wanahabari...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
RIPOTI: ‘GADDAFI ALIUAWA KIMAKOSA’ Raia wa Libya sasa hivi wanaishi maisha ya tabu ukilinganisha na kipindi cha utawala wa Kanali Gaddafi. LONDON: Ripoti ya Kamati ya Bunge Uingereza imekosoa...
19 Reactions
138 Replies
15K Views
Bosi huyo Steve Easterbrook amefukuzwa kazi baada ya bodi ya wakurugenzi kujiridhisha kuwa amekuwa kwenye mahusiano (ya ridhaa) na mfanyakazi wake wa kike. Bodi imeeleza kuwa bosi huyo alikiuka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Polisi imetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Waandishi wa Habari wapatao 50 waliokuwa wanaandamana kuelekea Makao Mkuu ya Polisi Jijini Kampala kuwasilisha kero zao juu ya ukatili wa Polisi dhidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
 MOGADISHU,SOMALIA UMOJA wa Mataifa (UN) umetuma misaada ya dharura nchini Somalia kufuatia mvua kubwa ambazo zimenyesha katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo na kusababisha mafuriko. Misaada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa ya Wizara ya Hazina ya Marekani inasema deni la ndani limeongezeka hadi kufikia dola trilioni 23 ambapo ukiligawanya kwa idadi ya watu milioni 328 kwa wastani kila mwananchi anadaiwa dola...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Tume ya uchaguzi nchini Msumbiji, imekiri kuwa kuliwepo na dosari kadhaa wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, ambapo rais Filipe Nyusi alichaguliwa kwa muhula wa pili. Kauli hii ya tume...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na imelaani mauaji ya mwanahabari anayehamasisha kuhusu Ebola. Katika taarifa ya pamoja ya wizara ya afya ya nchi hiyo kwa ushirikiano na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao. Kebehi nyingi sana...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mr President, your days in the office have drawn nigh, only if the Congress House speaker miss Nancy Pelosi wins her tricks on you. You'll be ousted by impeachment and the formal proceedings...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
The US House of Representatives has passed a resolution to formally proceed with the impeachment inquiry against President Donald Trump. The measure detailed how the inquiry will move into a more...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Urusi bado haiwezi kuthibitisha madai ya Washington kuhusu kuondolewa/kuuawa kwa kiongozi wa IS, Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov amesema, na kuongeza kwamba Amerika iliwezesha...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Polisi nchini Ufaransa imegundua uwepo wa wahamiaji 31 waliokuwa nyuma ya lori ikiwa ni pamoja na watoto ambao hawakuwa na mzazi ama mlezi. Kulingana na mwendesha mashtaka wa umma mjini Nice...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya kiongozi wa aliyekua kundi la Daesh Abu Bakr al-Baghdadi kuuawa katika oparesheni ya Siri ya kijeshi iliyoongozwa na Marekani,hatimae kundi la kigaidi la ISIS au Daesh latangaza kiongozi...
1 Reactions
149 Replies
13K Views
Sun Nov 3, 2019 09:11AM [Updated: Sun Nov 3, 2019 10:17AM Iran’s Parliament Speaker Ali Larijani Iran’s Parliament Speaker Ali Larijani says the United States has been seeking to foment turmoil...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
US trying to stir chaos in region to seize oil Sun Nov 3, 2019 09:11AM [Updated: Sun Nov 3, 2019 10:17AM Iran’s Parliament Speaker Ali Larijani Iran’s Parliament Speaker Ali Larijani says the...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Mahakama moja nchini Barcelona imewaachilia huru wanaume watano waliotuhumiwa kumbaka kwa zamu msichana wa miaka 14 kufuatia mashtaka ya unyanyasaji huo wa kingono. Wanaume hao walipatikana na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…