Wafuasi 9 wa Khamenei wawekewa vikwazo na Marekani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Marekani imesema inaweka vikwazo kwa raia tisa waliopo karibu na Kiongozi Mkuu wa Iran ambao wanaukaribu na kiongozi mkuu wa nchi hiyo Ali Khamenei.

Wizara ya Fedha ya Marekani imesema watu tisa ni pamoja na mkuu wa mahakama ya Iran na mtoto wa pili wa kiume wa kiongozi mkuu wa Iran.

Watu hao mali zao zilizopo nchini Marekani zitazuiwa pamoja na hatua zingine, Khamenei mwenyewe aliwekwa kwenye orodha ya watu waliopigwa marufuku mnamo mwezi Juni.

Waziri wa Fedha wa Marekani Steven Mnuchin amesema katika taarifa yake kwamba watu hao tisa wanahusika na mambo mabaya kadhaa ya utawala wa Iran.

Mapema Ikulu ya Marekani iliwaonya katika taarifa juu ya vikwazo zaidi vya udhoofishaji hadi Iran ibadili mwenendo wake wa uhasama.
 
kumbe nao wanaweka Mali zao marekani!
Inawezekana kweli uweke Mali zako kwa adui?!
Kueka mali US Ambapo Kuna Umoja Wamataifa Ambapo Ulimwengu Mzima Unawawakilishi wake Nijambo La Lazima Ama la Umuhimu

Ila Viongozi Wa US Wanatumia Makao Makuu Ya UN na Asasi Nyengine za Kimataifa Dhidi Ya Wapinzani Wao

Unahisi Muwakilishi Wa UN Anaetokea IRAN Atalala wapi lazma awe na mali ambazo zitakua ni Za IRAN

Ilapia Kuekewa Vikwazo na Hao Mabanwa Haimaanishi Kama wewe una maslahi Yamoja kwamoja kutokea US

Khemenei Hajawah kanyaga US Toka Aumbwe Ila Vikwazo Vimemuhusu Vyakutokanyaga US
 
shehe wangu ningeshangaa Sana usingekuja hapa 😂
OK kilichosemwa kitazuiwa si Mali ya Iran Bali ni Mali ya baadhi ya wairan
You got me?
 
Hata ayatulla aliwekewa vikwazo vya kuingia marekani wakati tangu azaliwe hajawahi kuikanyaga marekani na hana mpango huo kwa hiyo usishangae
Ngoja nirudie tena Labda utaelewa
KUMBE NA WAO WANAWEKA MALI ZAO MAREKANI?
 
Wanaweka Mali marekani au hawaweki?
Labda tuanzie hapo
Ndio maana ukisoma kwenye post yangu ya kwanza nimekutolea mfano wa vikwazo alivyo wekewa Ayatulla ,ambavyo ni kutoruhusiwa kuingia marekani na mali zake zote zilizoko marekani, lakini wakati huo kiongozi huyo tangu azaliwe hajawahi kuingia marekani na hana mpango wa kuingia marekani na hana mali yeyote ndani ya marekani.
Kwa hiyo kuwekewa vikwazo vya namna hiyo sio razima uwe na mali au masilai ndani ya marekani.
 
we pumba kweli swali rahisi kama hilo unaleta dibaji ndeefu
Ushia umekuingia kweli angalau uwe na nywele singa basi usikute mweusi tii

Ngoja nikuulize kwa mara ya mwisho wanaweka Hela USA au hawaweki?
Au utaleta tena taqqiya
 
Marekani imesema inaweka vikwazo kwa raia tisa waliopo karibu na Kiongozi Mkuu wa Iran ambao wanaukaribu na kiongozi mkuu wa nchi hiyo Ali Khamenei.

Wizara ya Fedha ya Marekani imesema watu tisa ni pamoja na mkuu wa mahakama ya Iran na mtoto wa pili wa kiume wa kiongozi mkuu wa Iran.

Watu hao mali zao zilizopo nchini Marekani zitazuiwa pamoja na hatua zingine, Khamenei mwenyewe aliwekwa kwenye orodha ya watu waliopigwa marufuku mnamo mwezi Juni.

Waziri wa Fedha wa Marekani Steven Mnuchin amesema katika taarifa yake kwamba watu hao tisa wanahusika na mambo mabaya kadhaa ya utawala wa Iran.

Mapema Ikulu ya Marekani iliwaonya katika taarifa juu ya vikwazo zaidi vya udhoofishaji hadi Iran ibadili mwenendo wake wa uhasama.
HAÒ WOTE WAWILI NI 'WACHOKOZI WANAOCHOKOZANA' ACHA TUONE...
 
we pumba kweli swali rahisi kama hilo unaleta dibaji ndeefu
Ushia umekuingia kweli angalau uwe na nywele singa basi usikute mweusi tii

Ngoja nikuulize kwa mara ya mwisho wanaweka Hela USA au hawaweki?
Au utaleta tena taqqiya
Kwa ulicho kiandika ujidhihirisha jinsi ulivyo jaa mavi kichwani badala ya ubongo.
Hii habari ina uhusiano gani na ushia ?
Kwahiyo ukiwa mtu mweusi huna haki ya kuanimi dini unayo itaka?
Yaan mtu mzima kama wewe unashindwa kuuelewa ufafanuzi mdogo kama huu ambao hata mtoto wa darasa la nne akiusoma ananielewa licho maanisha?alafu una jiita una akili?
Ngoja nikufundishe kama mtoto wa la kwanza.
Marekani kukuwekea vikwazo haiitaji uwe na mali au masilai yeyote ndani ya marekani ,lakini pamoja na hayo vita kuathiri kwa sababu hutaweza tena kufanya biashala makampuni yanayo fanya kazi ndani ya marekani ,hata kama makampuni hayo yatakuwa ni kutoka nchi nyingine au hawataweza kufanya biashara na watu binafisi wenye biashara zao ndani ya marekani hata kama si raia wa nchi hiyo.
Kwa hiyo hao walio wekewa vikwazo hawana mali zozote ndani ya marekani, ila vikwanzo vita waathiri kwa sababu wafanya biashara na makampuni yote duniani yenye biashara ndani ya marekani hayata kubali kufanya nao biashara kwa kuhofia na wao kuwekewa vikwazo na marekani ,hapo nadhani umenielewa.
 
Back
Top Bottom