MAREKANI: Rais Donald Trump athibitisha kifo cha Abu Bakr al Baghdadi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,400
photo_2019-10-27_16-26-24.jpg

Rais Donald Trump, amethibitisha kuwa Abu Bakr al Baghdad aliyejiua yeye mwenyewe, amesema kuwa amekufa kama Mtu muoga na kama Mbwa

Amejiua kwa mabomu aliyokuwa ameyavaa mwilini mwake. Washirika wake kadhaa pia wameuawa katika shambulio hilo lililofanywa na vikosi vya Marekani

Amemtangaza Baghdad kama msumbufu na kiongozi wa Kundi la Kigadi aliyekuwa akisakwa zaidi kwa sasa Ulimwenguni

Abu Bakr al Baghdad hakuonekana hadharani tangu mwaka 2014

=====

Donald Trump has confirmed that Islamic State leader Abu Bakr al Baghdadi was killed in a US military operation.

The president said: "Last night, the world's number one terrorist leader has been brought to justice." Al Baghdadi killed himself during the operation by igniting a suicide vest, according to Mr. Trump.

"He died like a dog, like a coward," the president said. Test results from the aftermath of the raid confirmed the deceased was the Islamic State leader.

The president said US special forces had conducted a "daring raid" which lasted around two hours, during which a large number of al Baghdadi's companions were also killed.

Mr. Trump said no US personnel were killed and 11 children present were uninjured.

-CNN-
 
Rais Donald Trump, amethibitisha Abu Bakr al Baghdad amefariki dunia kwa kujiua yeye mwenyewe, amesema kuwa amekufa kama Mtu muoga na kama Mbwa
-

Back
Top Bottom