Thailand: Walinzi wa Kujitolea katika Kituo cha ukaguzi wa magari barabarani wauawa katika mashambulio ya risasi

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Watu wenye silaha wamewafyatulia risasi Walinzi katika Kituo kimoja cha ukaguzi cha barabarani na kuwaua Wafanyakazi 15 wa kujitolea na kujeruhi wengine watano

Kwa mujibu wa Kanali wa Jeshi, Kiattisak Neewong amesema kuwa huenda baadhi ya Washambuliaji wamejeruhiwa kutokana na damu zilizoonekana sehemu ya tukio

Kundi la Waasi nchini humo linalohusishwa na shambulio limesababisha watu 7,000 kufariki tangu mwaka 2014 kwenye Mkoa mitatu ya Pattani, Narathiwat na Yala

Aidha amebainisha kuwa Kundi hilo linalowalenga zaidi Polisi na Walimu pamoja na Wafanyakazi wengine wa Serikali liliondoka na silaha kadhaa katika Kituo hicho cha Ukaguzi
******

Gunmen fired at security personnel at checkpoints in Thailand’s insurgency-wracked south, killing 15 volunteer officers and wounding five others, police said Wednesday.

Some of the attackers may have been injured in an exchange of gunfire during the attack late Tuesday night, based on blood-stained clothing at the scene, said Col. Kiattisak Neewong, an army spokesperson who is heading to the scene in Yala province. Officials said the assailants took several weapons from the checkpoints, including an M16 rifle and 3 shotguns.

A Muslim separatist insurgency has left about 7,000 people dead since 2004 in Thailand’s three southernmost provinces of Pattani, Narathiwat and Yala. Police, teachers and other government representatives are often targets of the violence.

Kiattisak said four of the slain officers were women and one was a doctor. Thailand’s volunteer security forces in the south are raised from local villages and receive weapons training from the army but no salary. They are usually issued shotguns but also often carry personal handguns.

Pol. Col. Thaweesak Thongsongsi, a superintendent in a Yala police station, said nails had been scattered on a highway to disable vehicles entering Yala. A small explosive was found placed near an electrical pole to knock out power, and several burning tires were left at a school as well.
 
Back
Top Bottom