Iran developing nuclear-capable missiles, European Powers warn UN

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,593
38,320
Naona France, Germany na UK wameamua rasmi kujitua mzigo wa Iran. Iran sasa ajiandae mkao wa Kula.

Iran 'developing nuclear-capable missiles'

A woman walks past a Shahab-3 ballistic missile and launcher on a street in Tehran, Iran, during Defence Week (26 September 2019)

Iranian forces put a Shahab-3 missile on display in Tehran during Defence Week in September
Three European powers have warned the UN that Iran is developing nuclear-capable ballistic missiles in violation of a Security Council resolution.

A letter sent by the UK, France and Germany says Iran tested a Shahab-3 missile variant "equipped with a manoeuvrable re-entry vehicle" that could deliver a nuclear weapon.
Such activity is "inconsistent" with a resolution endorsing the 2015 Iran nuclear deal, it argues.
Iran has denied the allegation.

Foreign Minister Mohammad Javad Zarif said the letter was a "desperate falsehood" put out by the European powers "to cover up their miserable incompetence in fulfilling bare minimum" of their obligations under the nuclear deal.
Presentational white space

Security Council Resolution 2231 "calls upon" Iran not to "undertake any activity related to ballistic missiles designed to be capable of delivering nuclear weapons, including launches using such ballistic missile technology".

Iran has insisted that its nuclear programme is entirely peaceful and denied that its ballistic missile programme violates the resolution.

But the European letter says that video footage of a test posted on social media on 22 April showed the use of a Shahab-3 booster that was "a Missile Technology Control Regime Category-1 system", according to the Associated Press.

As such, it was "technically capable of delivering a nuclear weapon".

The Missile Technology Control Regime, which was established to address nuclear proliferation, says Category 1 systems are capable of delivering a payload weighing at least 500kg (1102lbs) a distance of at least 300km (186 miles).

AP said the letter also listed three other examples of Iranian activities that the UK, France and Germany considered to be "inconsistent" with resolution 2231:

Israel's Foreign Minister Israel Katz welcomed the letter, and instructed Israeli diplomats to present a "complete list of Iranian violations of the nuclear agreement" at a Security Council meeting on 19 December that is expected to discuss Iran.

Iran has breached a number of commitments under the deal in recent months in response to US President Donald Trump's decision last year to abandon the deal and reinstate economic sanctions.
Mr Trump wants to force Iran to negotiate a new agreement that would place indefinite curbs on its nuclear programme and also halt its development of ballistic missiles. Iran has refused to negotiate unless the US first lifts its sanctions.

p07jzc3p.jpg

Media playback is unsupported on your device


Media captionFeeling the squeeze: Iran sanctions explained
The five other parties to the deal - the UK, France, Germany, China and Russia - have tried to keep it alive. But the sanctions have caused Iran's oil exports to collapse, the value of its currency to plummet and the inflation rate to soar.
In a separate development, US officials said a US Navy warship deployed in the Gulf of Oman had seized advanced missile parts believed to be headed from Iran to Yemen. The parts were on board a small boat stopped last week, they said.
The US defence department also denied a report in the Wall Street Journal that it was considering sending dozens more warships, other military hardware, and as many as 14,000 additional troops to the Middle East to counter Iran.
 
... Marekani mwenye intelligence iliyotukuka alipokuwa anawaambia hayo wao wakawa wanapinga hawakuwa na akili? Hadi Trump akaamua kuiondosha nchi yake kutoka mkataba wa kipumbavu walikuwa wamelala usingizi wa pono? Israel wana tons za documents za mpango mzima wa nyuklia wa Iran lakini wao hususan Germany walikuwa wanapinga ndio wanakumbuka shuka kumekucha? Europe wamekuwa majinga sana.
 
Iran sasa ajiandae mkao wa Kula

Nimecheka sana na hio sentensi hapo juu unataka Kutuaminisha Kitu Gani Labda ?!

Tulisema toka miaka zaidi ya mi5 Nyuma Hakuna Taifa Litakalo Thubutu Kurusha Hata Jiwe Ndani Ya Mipaka Ya IRAN

Kama wanaua wamasayansi kinyemela Kwa Off Side Waendelee Kuwaua Ila Hakuna Nabado Hakuna Taifa Litakalo Jitoa Ufahamu Likaingia Vitani Na IRAN


Nanakuhakikishia Hapa Trump Atatoka Madarakani IRAN Ikiwa Salama Usalimini Na Atakuja RAISI Mwengine Atairejesha US Katika Mkataba wa JCPOA Hata Kama Ntakua Nishakufa Ila Utakua Unajisemea Kimoyo Moyo Marehem BWANA UTAM Aliwahi sema Hapa Jukwaani

Unahisi Kama kungekua na TAIFA La Kuipiga IRAN Kwa hali iliopo Katika Mashariki Yakati Ss hv IRAN Ingekaa Vile ..

Na Hizo TAARAB Wamezitoa Baada Ya Kuona Maandamano Yao Uchwara waloyapandikiza Hapa Juzi Yamefeli

Nb:US=PAPER TIGER
 
Anacho kifanya TRUMP ni Kupoteza Muda 2 IRAN Toka US Ajitoe Katika Mkataba Wa JCPOA Mwaka Na Miezi Kadhaa ss washaweka Mavikwazo C Chini Ya 20 Ila IRAN Wamekomaa
IRAN Sio Taifa Lakulitumilia Mabavu Tena IRAN Nitaifa Laku Amiliana Nalo Kwa Mazungumzo 2 Jambo Ambalo OBAMA Aliliona Na Ndio Huo Mkataba Ukasainiwa

TRUMP Akajitoa Ufahamu Akajitoa Hakuna Dili Ama Mkataba Mpya IRAN Ataingia Kinyume Na Ule US Alojitoa

Kama nawewe unangojea Hilo Litokee Unakosea sana na kupoteza Muda Wako


IRAN=MIDLE EAST SUPER POWER
 
... Marekani mwenye intelligence iliyotukuka alipokuwa anawaambia hayo wao wakawa wanapinga hawakuwa na akili? Hadi Trump akaamua kuiondosha nchi yake kutoka mkataba wa kipumbavu walikuwa wamelala usingizi wa pono? Israel wana tons za documents za mpango mzima wa nyuklia wa Iran lakini wao hususan Germany walikuwa wanapinga ndio wanakumbuka shuka kumekucha? Europe wamekuwa majinga sana.
Hiyo Hiyo Marekani Ilotukuka Kwenye Intelijensia Ndio Ilotuaminisha yakwamba IRAQ Kuna Silaha Za Sumu Wakavamia na Kuipiga IRAQ Toka Mwaka 2003 Mpaka Sasa Piga Hesabu Miaka Mingapi


Silaha Za Sumu Iliokua Kama Sababu Yakupigwa IRAQ Ziko Wapi Mbona Mpaka Leo 2019 na 2020 loading..... hamna hata silaha ya Sumu Yapanya Walotuonyesha ?!



Nb:IRAN Kashashindikana Toka Ile Siku Walomshindwa Kumtoa Madarakani Kwa Kumpiganisha Na Saddam Hawatampata Tena Milele
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom