Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Watu 6 wamepoteza maisha yao na wengine zaida ya 150,000 wameathirika kutokana na mvua nzito nchini Sri Lanka, kituo kinachosimamia maswala ya maafa nchini humo (DMC) kiliripoti leo (Jumatano)
.
Rais wa Sri Lanka aliwashauri maafisa wote wa wizara zote na mawakala wa serikali kushirikiana na wizara ya ulinzi na DMC kwa lengo la kujiandaa na hatua za haraka za uokoaji katika tukio la mafuriko, maporomoko ya ardhi na vilevile yanayosababishwa na mvua nzito.
Takriban watu 900 wamehamishwa kwa malazi salama huku zaidi ya nyumba 350 zimeharibiwa kabisa. Mvua ya zaidi ya milimita 150 inatarajiwa katika siku zijazo katika maeneo ya kaskazini, mashariki na kusini mwa pwani mwa nchi hiy