International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nchini Ujerumani, idadi ya Wakristo inaendelea kupungua kwa kiwango kikubwa, hali inayosababisha makanisa mengi kubaki bila kutumiwa. Hivi karibuni, Kanisa la Mtakatifu Anna (St. Anna) lilijaa...
5 Reactions
12 Replies
553 Views
Rapper maarufu Nicki Minaj ameibua mjadala baada ya kuunga mkono kauli ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwamba Wakristo wanakabiliwa na mateso nchini Nigeria madai ambayo serikali ya Nigeria na...
2 Reactions
10 Replies
811 Views
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekiri kwa mara ya kwanza kwamba nchi yake ilikuwa na mapungufu ya kiusalama katika vita vyake na Israel. Akizungumza katika kikao cha baraza la mawaziri mjini...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Krismasi ya mwaka huu umeonekana kufanyika kwa amani ya kiwango cha juu kimataifa, bila kuripotiwa mashambulizi makubwa yaliyofanikiwa ndani ya makanisa katika mkesha na siku ya Krismasi yenyewe...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Hali sio Hali Kwa Binti yetu, sasa ni ule mda wa kumchangia mliokua mnampenda sana
1 Reactions
3 Replies
299 Views
Rais Donald Trump (Mungu ambariki sana) amesema atatumia US military might kulinda Christians wanaouliwa na muslim jihadists nchini Nigeria. God Bless D.Trump ... ————— Christianity is facing...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakati propaganda za chuki dhidi ya Mayahudi zikizidi kuenezwa hasa katika nchi maskini kama zetu, kwa Mafarao wa Misri kwao Mayahudi ni fursa. Israel na Misri wamesaini kandarasi ya gesi asilia...
1 Reactions
4 Replies
197 Views
hii vita nilikuwa sijailewa mpaka hii docu ya al jazeera, pure evil ... https://www.youtube.com/watch?v=ZaQnaF3pP4I
0 Reactions
4 Replies
228 Views
https://www.instagram.com/reel/DSuT14MCbJf/?igsh=ZnBzOGh3bGhpOW51
0 Reactions
4 Replies
260 Views
Viongozi wa Afrika kwenye mali za umma wawekewe restrictions kali kwasababu default settings wanawaza UPIGAJI Mnamo Aprili 2017, Taasisi ya kupambana na rushwa wa Nigeria iligundua kiasi kikubwa...
1 Reactions
6 Replies
268 Views
Kenya ilipokea mfumo wa ulinzi wa anga uliotengenezwa na Israeli wa SPYDER, ngao ya kisasa dhidi ya ndege zisizo na rubani, ndege na vitisho vya ugaidi. Wakati ambapo nguvu kali zinalenga maisha...
8 Reactions
20 Replies
649 Views
Watu wa ovyo dunia hii kuwahi kutokea, bado wanaishi stone age 👇👇
2 Reactions
28 Replies
581 Views
Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na...
1 Reactions
4 Replies
298 Views
Netanyahu Atangaza Mpango wa $110 Bilioni wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza uwekezaji mkubwa wa shekeli bilioni 350 (takriban dola...
4 Reactions
10 Replies
307 Views
Kulingana na sheria za dini ya muarabu, mwanamke hapaswi kusikika popote na kwa lolote, yaani akae ndani tu na akitoka ajighubike yale manguo ya muarabu meusi na aandamane na mwanaume, kidogo...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Tume ya TEHEMA ya Marekani (FCC) hivi karibuni ilitangaza kuweka ndege zote zisizo na rubani na vipuri vyake vilivyotengenezwa nje ya nchi kwenye orodha ya kudhibitiwa, kwa kisingizio cha “tisho...
2 Reactions
2 Replies
281 Views
Serikali ya Ufaransa Ijumaa ilitoa wito wa kuzingatia mapumziko ya Krismasi katika maandamano ya wakulima, ikionya dhidi ya kuendelea na vizuizi zaidi wakati wa msimu wa sikukuu, hatua ambayo...
1 Reactions
3 Replies
257 Views
Mosab Hassan Yousef ni mtu halisi, anayejulikana duniani kote kwa kisa chake cha kipekee na chenye msisimko mkubwa wa maisha. Alizaliwa mwaka 1978 katika Ukingo wa Magharibi (West Bank), eneo...
6 Reactions
25 Replies
704 Views
Mkuu wa Majeshi ya Jeshi la Libya, Mohammed Ali Ahmed Al-Haddad, amefariki dunia Jumanne baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kuanguka muda mfupi baada ya kuondoka katika mji mkuu wa Uturuki...
1 Reactions
3 Replies
328 Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema hawana nia ya kupigana na ulaya ila ikiwa ulaya na vita na Russia basi wao wapo teari Ata sasa
2 Reactions
13 Replies
760 Views
Back
Top Bottom