Taarifa za Umoja wa Mataifa, UN zinasema makundi ya watu wenye silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasia Congo wamewaua watu 1,315, idadi ambayo ni kubwa mara tatu ikilinganishwa na mwaka 2019...
Serikali ya Lebanon imejiuzulu takriban wiki moja baada ya kutokea mlipuko mkubwa mjini Beirut, huku Waziri Mkuu Hassan Diab akilaumu ufisadi kama chanzo cha ajali hiyo
Katika hotuba yake, Diab...
Rai wa Lebanon wameandamana kuishinikiza viongozi wajiuzulu kutokana na mlipuko uliotokea uliosababisha vifo vya watu 157 na kujeruhi wengine 5,000
Aidha madhara ya tukio hilo yanaweza kuongezeka...
Meet the Poorest President in the World Uruguayan President José Mujica Drives a Volkswagen Beetle & Donates 90% of his Salary to Charity
Uruguayan President José Mujica, has earned the...
Meli ya MV Wakashio imevujisha zaidi ya tani 1,000 za mafuta baharini huku Waziri Mkuu Pravind Jugnauth akionya kuwa nyufa zake zinaendelea na kwamba Meli hiyo inaweza kukatika vipande viwili...
Jimmy Lai ni moja wapo ya viongozi wakuu wanaharakati wanaounga mkono demokrasia huko Hong Kong. Amekamatwa leo Jumatatu Agosti 10 chini ya sheria mpya ya usalama wa kitaifa, ndugu zake na chanzo...
The relations between the United States and Russia is at their lowest point since 1985. Some of the main causes for the escalation are Russia's interference in the 2016 US presidential election...
Takribani watu 728 wamejeruhiwa na polisi mmoja ameripotiwa kufa katika maandamano yanayoendelea Lebanon, baada ya kutokea mlipuko katika Bandari ya Beirut
Mamlaka za Lebanon zinawashikilia watu...
Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman ameshutumiwa kwa kutuma mamluki nchini Canada ili kumuua aliyekuwa afisa wa ujasusi wa Saudi.
Mpango huo wa kumuua Saad al-Jabri ambao...
Twitter imezuia akaunti ya kampeni ya Donald Trump kwa kukiuka sheria zake zinazohusu usambazaji wa taarifa za upotoshaji, baada ya kuposti video ya Rais huyo wa Marekani akisema watoto wana kinga...
Bwana Donald Trump, Rais wa Marekani ametia saini sheria ama Executive Order ya kuipa kampuni ya ByteDance inayomiliki kampuni ya Tik Tok nchini Marekani kuuza hisa zake zote kwa kampuni ya...
The richest countries in the world take pride in their wealth of resources and policies that have enabled them to be at the top of the world. These countries have strong and diverse economies that...
Folks , I have seen this serious talk in a forrum, and its quite interesting to hear the argument for and against the fact that, China and the US are too intertwined to have an all out war!
Fact...
“It was like a nuclear explosion,” - explained a bystander.
There are always massive explosions happening, people in countries who are rocked by civil war even get usto explosions going off...
Ni miaka 22 tangu shambulio la kigaidi katika balozi za Marekani, Nairobi na Dar es Salaam
Ni miaka 22 tangu shambulio la kigaidi lilipotokea katika ofisi za ubalozi wa Marekani jijini Dar es...
The number of deaths from coronavirus in Iran is nearly triple what Iran's government claims, a BBC Persian service investigation has found.
The government's own records appear to show almost...
Watu wapatao 62 wakiwamo watoto wamefariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji kuzama katika Bahari ya Atlantiki huko nchini Mauritania.
Boti hiyo iliyokuwa imebeba watu 150 iliishiwa...
Not all that glitters is gold.
Dubai is populated with about 3.3million people with lots of oil and gas deposit worth billions of dollars. Dubai is one of that cities that made up the UAE...
Baada ya Mugabe kung’ang’ania madaraka mpaka kuzeeka, na kulazimisha jeshi kumtoa madarakani, mambo yamekwenda tofauti na walivyotegemea, kwani kumekuwa na maandamano makubwa ya Kupinga utawala wa...
+ Hii ni Simulizi ya kweli Inayomuhusu mwanamke ANNA ECKLUND Na Padre Theophilus Riesinger.
+ Simulizi ya kusikitisha ya Anna ni moja ya simulizi za kweli maarufu huko Amerika, kuna vitabu kadhaa...