Rais wa Uruguay José Mujica, ndiye rais anayeishi maisha duni kuliko wote duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Uruguay José Mujica, ndiye rais anayeishi maisha duni kuliko wote duniani

Discussion in 'International Forum' started by zanzibar huru, Sep 29, 2012.

 1. z

  zanzibar huru Senior Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  [​IMG]


  [h=1]Meet the “Poorest President” in the World – Uruguayan President José Mujica Drives a Volkswagen Beetle & Donates 90% of his Salary to Charity[/h]


  Uruguayan President José Mujica, has earned the nickname of the “poorest,” or the “most generous,” president in the world
  By LARA FERNANDEZ

  Usually presidents are not associated with poverty. Some, like Venezuelan President Hugo Chavez, are even linked to big spending and generous welfare programs.

  But the President of Uruguay, José Mujica, has earned the nickname of the “poorest,” or the “most generous,” president in the world — depending on how you see things— after revealing that he donates 90 percent of his earnings, to charitable causes.

  In a recent interview, Mujica told Spain’s El Mundo that he earns a salary of $12,500 a month, but only keeps $1,250 for himself, donating the rest to charity.

  The president said that the only big item he owns is his VW car, valued at $1,945 dollars. The farmhouse in which he lives in Montevideo is under his wife’s name, Lucía Topolansky, a Senator, who also donates part of her salary.

  “I do fine with that amount; I have to do fine because there are many Uruguayans who live with much less,” the president told El Mundo.

  The 77-year-old Mujica is a former guerilla leader, who fought against Uruguay’s military regimes in the 1970s. He was also Minister of Livestock, Agriculture and Fisheries from 2005 to 2008 and afterwards, served as a senator.

  Later on, as presidential candidate for the Broad Front, the left-wing coalition, Mujica won the 2009 election becoming Uruguay’s president on March 1, 2010.

  Uruguay is the second smallest nation in South America by area, after Suriname. However it is one of the most developed countries on the continent, with a GDP per capita of $15,656. That’s less than half of United States’ GDP per capita, but it triples earnings in Honduras which has a GDP per capita of just $4,345.

  Under Mujica’s stewardship, Uruguay has become known for low levels of corruption. The South American country ranks as the second least corrupt country in Latin America in Transparency International’s global corruption index.

  Uruguay also made it to the world cup 2010 semi-finals while Mujica was in office, and the country won the South American Soccer championships in 2011, stunning tournament hosts Argentina, in a memorable performance by striker Diego Forlan.

  It seems therefore, that it’s a good time to be Jose Mujica.

  Without bank accounts, and with few debts, Mujica told El Mundo that he sleeps peacefully. When his term is over, the President hopes to rest even more peacefully in his farmhouse, along with his wife and his inseparable dog, Manuela.

  ‘Poorest president’ donates 90% of his salary | The Lookout - Yahoo! News
   
 2. h

  hacena JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  tumewahi kuwa na marais wawili waadilifu africa, Nelson Mandela, na J.K. Nyerere, hawakufikia kiwango cha Jose Mujica natamani taarifa hii isambazwe kila sehemu africa, ndio maana nasisitiza kuwa ubunge sio kazi hivyo wabunge hawastahili kulipwa mishahara mikubwa kiasi wanacholipwa, waliomba kuwakilisha wananchi wanastahili posho tu.
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  He is getting everything for free, wacha atoe mshahara wake kwenye charity.
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Hapa hata Baba wa taifa hafuati, wakati Mkuu wetu akiishi kifalume na prince. Jose mujika ameamua kuishi kifukara. Na ukichukulia maanani Uruguay ni moja ya NCHI masikini kabisa kwenye bara la Marekani ya kusini
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  zanzibar huru angalia hii hapa ... alafu tafakari ... how do you measure progress?! & National Satisfaction

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hawa wa Africa wanapata kila kitu bure na mishahara plus allowance kubwa lakini bado wanawaibia wananchi wao na kuficha fedha ughaibuni!! Wengi wao wanastahili kufa kifo cha Gaddaffi!!!
   
 7. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Daaaah natamani awe hata rafiki yangu tu ni mzalendo hasaa !
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Kama maelezo ya kwenye hiyo video ni kweli, basi huko ni paradiso,hakuna haja kwenda mbinguni. Je na sisi tunaweza kutengeneza paradiso ndogo kama hii ya Uruguay?
   
 9. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,770
  Likes Received: 6,103
  Trophy Points: 280
  Kama Ahmadnejad wa Iran au Gaddafi aliyekuwa analala kwenye mahema jangwani. Hakika hawa walishaianza pepo wangali humu humu duniani.
   
 10. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,661
  Likes Received: 2,466
  Trophy Points: 280
  Vipi kuhusu wa kwetu?
   
 11. v

  valid statement JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kweli huyu jamaa ni mzalendo hasa.
  Nadhani milango ya mbinguni itakuwa wazi kwa mtu kama huyu
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huku kwetu tuna extended families haiwezi kutosheleza.
   
 13. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,661
  Likes Received: 2,466
  Trophy Points: 280
  Lakini wa kwetu halipi kodi, na bado chama kinamlipa, bado ana lile fungu lianlotwa "consolidated fund". Vipi isitosheleze?
   
 14. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huku perception tofauti, ukiwa kiongozi wananchi waliokuchagua wanategemea ujiweke vizuri. Usipofanya mambo mwisho wa siku wanakucheka. Kwa wenzetu wanaangalia tu uchapaji kazi na ethics. You can not blame him, can you?
   
 15. m

  makeda JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kwa maraisi tumeenda mbali mno,tuanze na hawa wanaojiita wachungaji km kuna hata mmoja anaemkaribia hata huyo raisi wa uruguay.

  Ingekuwa inawezekana ningesuggest tuombe mtu km huyo aje awe raisi kwenye nchi hii yenye kansa ya wizi na ujambazi,na unyang'anyi wa kila aina.maana mkiwa na kiongozi km uyo hata displine inakuwepo mana mnajifunza kwa vitendo kutoka kwake.
   
 16. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tuna mifano pia hapa Afrika. Jana Rais Joyce Banda ameahidi naye kukatwa nusu ya mshahara wake wa dola 5000 kwa mwezi kama sehemu ya austerity measures za kufufua uchumi wa nchi ya Malawi. Kufutarishana tu ndiyo tunaweza.
   
 17. m

  makeda JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Wanaharakati muwe mnaenda hata kwenye balozi za hawa watu wanaofanya vizuri na kuwapa hongera kwa niaba ya wananchi tunaonyanyasika na haya makabrasha yenye tamaa.
  Km hili la kwetu hata honorary degree linapewa kwa lipi?
  Misafari yote linayofanya,mahela ya wizi kwenye mawizara zake yangetatua matatizo mangapi?

  Matatizo chungu mbovu ya kutatua.
   
 18. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,720
  Likes Received: 8,276
  Trophy Points: 280
  Hapa nataka kusikia kwa mheshimiwa Zitto...ataweza kufanya haya ama na yeye kama wengine tu??!
   
 19. m

  makeda JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mentor unadhani ishu ni kusema ataweza au la!ishu ni utekelezaji.waandishi wangekuwa wanatuwekea Kipindi maalum cha kucheki ahadi alizoweka kikwete na wabunge wake,halafu ucheki ngapi zimeshatimizwa ngapi bado,na uangalie pia amebakiza mda gani atoke ndo utaelewa.

  Hivyo,kukiri uongo ni easy tu after all hamna ufuatiliaji wala wa kukufanya lolote hata usipozitimiza.
   
 20. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ana nyumba ndogo nyingi na wadogo zake Ritz ni wengi pia. Si unajua hulka yake...
   
Loading...