Twitter yazuia akaunti ya kampeni ya Donald Trump kwa kuposti taarifa potoshi kuhusu COVID-19

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,800
Twitter imezuia akaunti ya kampeni ya Donald Trump kwa kukiuka sheria zake zinazohusu usambazaji wa taarifa za upotoshaji, baada ya kuposti video ya Rais huyo wa Marekani akisema watoto wana kinga dhidi ya Coronavirus.

Twitter imesema kuwa tweet kutoka akaunti ya @TeamTrump, ambayo ilionesha video ya rais huyo katika mahojiano na kituo cha Fox News, “Iliukiuka sheria za Twitter juu ya taarifa za kupotosha kuhusu COVID-19"

Aidha, msemaji wa Twitter ameeleza kuwa mmiliki wa akaunti hiyo atalazimika kuondoa video hiyo kabla ya kurejeshewa uwezo wa ku-tweet tena.

Hatua hiyo ya Twitter imekuja masaa machache baada ya Facebook kuiondoa video hiyo hiyo kutoka kwenye akaunti binafsi ya Donald Trump.

Facebook ilichukua hatua hiyo kwa maelezo kuwa inahusisha madai ya uongo kwamba kundi fulani la watu lina kinga dhidi ya COVID-19, jambo ambalo ni ukiukaji wa sera za mtandao huo kuhusu taarifa zihusuzo ugonjwa huo.

=======

Twitter froze the account of the Trump campaign on Wednesday for violating its misinformation rules after it posted a video in which the US president said children were “almost immune” to coronavirus.

The clampdown came just hours after Facebook removed the same post from Donald Trump’s personal account on the platform.

Twitter said on Wednesday that the tweet from the @TeamTrump account, which showed a video of the president in a Fox News interview, was “in violation of the Twitter rules on Covid-19 misinformation”.

“The account owner will be required to remove the tweet before they can tweet again,” the spokesperson added.

Facebook had taken action on the same post, saying the video “includes false claims that a group of people is immune from Covid-19 which is a violation of our policies around harmful Covid misinformation”.

The company said it was the first time it had removed one of the president’s posts for breaching its coronavirus misinformation rules.

According to the Centers for Disease Control and Prevention, while adults make up the majority of cases, “some children and infants have been sick with Covid-19”.

The move marks the tougher stance that Twitter has taken towards the president in response to some of his more controversial tweets. Facebook has also begun to take more action on misleading posts after being accused of being lax relative to its smaller rival.

Democrats have welcomed the crackdown on the president’s social media posts but Republicans have accused Twitter of trying to censor conservative voices in an effort to help Joe Biden, the Democratic nominee, in November’s presidential election. The president himself has also openly sparred with the internet platforms, alleging that they are trying to silence him and sway the election.

Courtney Parella, deputy national press secretary for the Trump campaign, said on Wednesday: “The president was stating a fact that children are less susceptible to the coronavirus. Another day, another display of Silicon Valley’s flagrant bias against this president, where the rules are only enforced in one direction. Social media companies are not the arbiters of truth.”

Mr Trump has come under repeated attack for misleading and inaccurate claims since the start of the pandemic, including his comment that people could protect themselves by ingesting disinfectant.

Source: Financial Times
 
Dunia ina maajabu aisee! Just imagine Taifa kubwa kama Marekani linakuwa na Rais mbumbumbu! Mara watu wachomwe sindano za sabuni, mara watoto hawaambukizwi covid-19, mara dawa fulani ni tiba kamili ya Corona, e.t.c. Na anasema yote haya ilihali anajua kabisa kuwa yeye siyo mtaalam wa hayo masuala.
Trump ni "mbumbumbu"?
Lol
 
Share mtazamo wako.
Mimi naona anajua anachokilenga.
Kusema kuhusu watoto wana kinga dhidi ya Covid 19 ni kwasababu alitaka shule zifunguliwe na pia lilipokuja suala la uchaguzi akataka lisogezwe mbele kwa sababu ya Covid 19.
Watu wakahoji kwanini anataka shule zifunguliwe na uchaguzi usogezwe mbele ina maana anataka watoto wetu wakafe? "Nahisi" ndio maana akaja na mbinu hiyo.

Sina uhakika lakini.
 
Sasa mtu anasema watu wachomwe sindano za sanitizer/people could protect themselves by ingesting disinfectants,huyo siyo mbumbumbu ni nani?!
Alisema inaweza kuzuia virus lakini hakumaanisha watu wajichome.
Trump says he takes no responsibility for people ingesting disinfectant despite suggesting it as treatment
"The president on Friday denied seriously suggesting people consume toxic materials after later in Thursday’s briefing saying disinfectant could kill the virus but not via injections."
 
Mimi naona anajua anachokilenga.
Kusema kuhusu watoto wana kinga dhidi ya Covid 19 ni kwasababu alitaka shule zifunguliwe na pia lilipokuja suala la uchaguzi akataka lisogezwe mbele kwa sababu ya Covid 19.
Watu wakahoji kwanini anataka shule zifunguliwe na uchaguzi usogezwe mbele ina maana anataka watoto wetu wakafe? "Nahisi" ndio maana akaja na mbinu hiyo.

Sina uhakika lakini.

Kama ndio hivyo siunaona anavyojichanganya.

Trump ana mambo ya ajabu kila kukicha anakuja na kituko kipya.
 
Alitamka kwa kinywa chake kuwa watu wawe injected ila alikuja kukana kisiasa baada ya kuona watu wanamjia juu.

Outcry after Trump suggests injecting disinfectantView attachment 1528593
Mimi kwa mtazamo wangu na nilichogundua ni Trump anapenda sana kuongelewa awe anaandikwa kila mahali, akiwasha TV habari ziwe ni yeye tu. Ikipita siku hajawa headlined kwenye news atatafuta tu cha kusema.

Na ili uandikwe sana inabidi uwe unatoa vituko kama hivo maana reporters wengi ndio wanapenda kureport hizo. Ukiangalia speech nyingi za Trump pale alipochanganya vitu ndio reporters wanapaandika sana kuliko vya maana alivyosema.

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama huwa anamaanisha kabisa mambo kama hayo.
 
Nimeangalia tafsiri ya mbumbumbu ni "mtu asiyeelewa chochote " ndio maana nikauliza kwa kushangaa.
Kwani Waswahili huwa wanalitumia hili neno kwa yule asiye jua chochote au yule ambaye ni mjinga kwa kile anachokiongelea tu ?

Ngoja niwaulize Waswahili nione wataniambiaje.
 
Dunia ina maajabu aisee! Just imagine Taifa kubwa kama Marekani linakuwa na Rais mbumbumbu! Mara watu wachomwe sindano za sabuni, mara watoto hawaambukizwi covid-19, mara dawa fulani ni tiba kamili ya Corona, e.t.c. Na anasema yote haya ilihali anajua kabisa kuwa yeye siyo mtaalam wa hayo masuala.
...teh teh 🎶🎵...🌍🌎..dunia lukumba lukumba..
 
Dunia ina maajabu aisee! Just imagine Taifa kubwa kama Marekani linakuwa na Rais mbumbumbu! Mara watu wachomwe sindano za sabuni, mara watoto hawaambukizwi covid-19, mara dawa fulani ni tiba kamili ya Corona, e.t.c. Na anasema yote haya ilihali anajua kabisa kuwa yeye siyo mtaalam wa hayo masuala.
Nani ni mtaalamu,Bill gates?..Hivi nani asiyejua kwamba watoto wana risk ndogo sana ya kuugua ugonjwa wa Corona?.Tanzania ni watoto wangapi wameugua Corona,unafkiri hakuna walioupata igonjwa?.Hiyo ni fact kwamba kinga za watoto zipo strong kuliko za watu wazima na wazee na ndio maana huu ugonjwa unapiga zaidi wazee na watu wenye complications.

Kwa hili Trump yupo sahihi 90%,Issue ya Hydrochloride pia yupo sahihi 90%,.Tatizo pale marekani makampuni ya madawa yana loby makundi fulani ya vyombo vya habari,wabunge na magavana ili kufaidika na huu ugonjwa.Sasa hivi kama unafuatilia wana mu attack Trump kwa sababu tu amewalazimisha washushe bei ya dawa kwa 50%.

Trump ana mapungufu yake mengi tu,ila kuna vitu vingine jaribu kutuliza jazba utafute uhalisia wake...
BTW Trump ana access ya classified info kuhusu kitu chochote kuliko mimi na wewe,so akiongea kitu usichukulie powa tu,there is something behind it,..
 
Mimi kwa mtazamo wangu na nilichogundua ni Trump anapenda sana kuongelewa awe anaandikwa kila mahali, akiwasha TV habari ziwe ni yeye tu. Ikipita siku hajawa headlined kwenye news atatafuta tu cha kusema.

Na ili uandikwe sana inabidi uwe unatoa vituko kama hivo maana reporters wengi ndio wanapenda kureport hizo. Ukiangalia speech nyingi za Trump pale alipochanganya vitu ndio reporters wanapaandika sana kuliko vya maana alivyosema.

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama huwa anamaanisha kabisa mambo kama hayo.
Mkuu,pale USA kuna politics inachezwa kuhusu huu ugonjwa,ila by june shule zote na uchumi ilibid viwe open...
 
Kwa hiyo hii mitandao ni social platforms au world police?

Huu ujinga mwingi sana. People should have free speech, and that freedom includes saying wrong things.

Kwani followers wake ni watoto wasio na utashi na akili ya kupambanua?
 
Cha ajabu ni kwamba,alichokisema wala sio uongo ni kitu ambacho ni fact hata dactari wa mwaka wa kwanza chuo anajua watoto wako na lower risk ya maambukizi b'se bado wanadevelop kinga ya mwili.Tatizo alichosema Trump haki fit kwenye narrative zao maliberali..
 
Back
Top Bottom