Muendelezo wa maandamano Zimbabwe: Je, wanamkumbuka Mugabe?

pombe kali

Senior Member
Jun 28, 2014
129
500
Baada ya Mugabe kung’ang’ania madaraka mpaka kuzeeka, na kulazimisha jeshi kumtoa madarakani, mambo yamekwenda tofauti na walivyotegemea, kwani kumekuwa na maandamano makubwa ya Kupinga utawala wa sasa, ukilalamikiwa kwa utawala mbovu na rushwa pia mbaya zaidi serikali imekuwa ikitumia un reasonable force kama bunduki za moto, hivyo kufanya idadi ya mauaji kuwa kubwa sana zaidi tembelea #zimbabweanslivesmatter

=======

1596531572542.png

HARARE, Zimbabwe -- Zimbabwe's military and police are arresting scores of opposition members and activists after authorities thwarted an anti-government protest last week, according to rights groups.

More than 60 people have been arrested so far in the continuing clampdown, said Zimbabwe Lawyers for Human Rights, which is providing lawyers for the arrested people. Last week internationally known author Tsitsi Dangarembga was arrested for a peaceful protest and spent a night in police cells before being released on bail.

Zimbabwe’s main opposition party, the MDC Alliance, says dozens of its officials have been arrested or have gone into hiding. If state agents do not find the person they want to arrest, they often vandalize their homes and harass their relatives, said opposition spokesman Tendai Biti.

Human rights groups accuse President Emmerson Mnangagwa’s administration of clamping down on dissent under the guise of enforcing anti-COVID-19 lockdown rules.

The Zimbabwean police and government officials have repeatedly denied allegations of human rights abuses, saying those arrested or being sought by the police were inciting people to revolt against Mnangagwa’s government.

On Monday, a judge postponed until Thursday a bail hearing for Hopewell Chin’ono, an investigative journalist who has been in jail for two weeks on accusations of mobilizing the foiled protests.

Another investigative journalist, Mdudzuzi Mathuthu, prominent for reporting on alleged government corruption linked to purchases of COVID-19 personal procurement equipment and drugs, is in hiding.

“I am hiding like a rat in my own country for doing nothing more than my job,” Mathuthu told The Associated Press Monday.

“Journalism is just a job, but in Zimbabwe it can be a matter of life and death. They have not only come just after me, but my family as well,” he said.

His nephew, Tawanda Muchehiwa, who family members say was abducted by state security agents last week to force the journalist to surrender, was dropped near his home Saturday, hours after a judge ordered police to “produce him.”

Muchehiwa, a journalism student, is receiving medical treatment after alleged torture caused him to suffer “severe injuries resulting in acute renal failure and severe tissue damage around the buttocks and under the feet,” according to his lawyer, Nqobani Sithole. The alleged abuse included forcing him to drink his own urine, the lawyer said.

The ongoing arrests are “worrying,” said Dewa Mavhinga, Human Rights Watch director for Southern Africa. He noted that some students were arrested for simply walking in their neighborhoods with a Zimbabwean flag or tweeting about Zimbabwe's deepening economic and political problems.

“The continued security forces clampdown shows that nothing has changed since the repressive days of Robert Mugabe. Those who protested on Friday did so in small groups, yet activists are still being hunted down, it shows lack of respect for the right to peacefully demonstrate,” he said.

Mugabe ruled Zimbabwe with an iron fist for 37 years, before being deposed through a coup in 2017. Mnangagwa, who had been Mugabe's deputy, promised “ a flowering of democracy” when he took over after the coup, but critics say his rule has been rife with abuses.

ABC News
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
14,190
2,000
Hakuna lolote la maana Mugabe litamfanya awe rais bora.

mkuu,ulikuwa unamfuatilia Mugabe katika Historia au vyombo vya habari vya mabeberu ? .ngoja nikupe mfano,aliwapokonya ardhi wazungu ambao walijimilikisha ardhi yote ya Zimbabwe huku masikini wakiachwa bila kitu,lakini leo rais wa sasa anataka kuirudisha kwa mzungu tena na kuwalipa wazungu fidia
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
27,369

Ardhi ya Zimbabwe ilipewa familia ya Mugabe,Wanasiasa wenzake,Wanajeshi wakubwa walioko kazini na wastaafu na watu wa Kabila la washona wengine waliobaki wanapambana na hali yao tu.
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
39,041
2,000
Jamaa atakua sa hivi anawatembezea raia kipigo cha mbwa koko,maana huko twitter wazimbabwe wanapiga yowe hatariii.
Naam nimeona baadhi ya picha na video clip jamaa wanapewa mkong'oto haswaa lakini sasa Government ya Zimbabwe ina bahati mbaya maana naona dunia nzima imewageuka ina watetea wananchi ....so wasipokuwa makini wenye dunia yao wakichafukwa watamuondoa raisi madarakani haraka sana

Nadhani hili vugu vugu mnangwaga alikuwa ameshalishtukia kuwa liko planed na mataifa yenye nguvu ndio maana akajifanya kutaka kuyarejesha Yale mashamba na kuwalipa fidia wazungu ili wamuondolee vikwazo vya kiuchumi .... So he need to be smart other wise nguvu ya umma ikitumiwa vibaya na mahasimu wake Watamng'oa katika nafasi aliyo nayo ..shauri yake
 
'Nadhani hili vugu vugu mnangwaga alikuwa ameshalishtukia kuwa liko planed na mataifa yenye nguvu ndio maana akajifanya kutaka kuyarejesha Yale mashamba na kuwalipa fidia wazungu'

100% agreed,hio point hapo juu ndio yenyewe haswaa,baada ya kulikoroga kaona awapooze wajuba kwa style hio sasa.
 
Hahahaa daahh sasa mbona kama wamemsusia .... Ngoja tuone

Hahahaa kmmk siasa hizi
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,132
2,000
mkuu,ulikuwa unamfuatilia Mugabe katika Historia au vyombo vya habari vya mabeberu ? .ngoja nikupe mfano,aliwapokonya ardhi wazungu ambao walijimilikisha ardhi yote ya Zimbabwe huku masikini wakiachwa bila kitu,lakini leo rais wa sasa anataka kuirudisha kwa mzungu tena na kuwalipa wazungu fidia
Baada ya kuwapokonya, aliowagawia hawakuitumia kuzalisha chakula nchi ikawa na njaa. Au mabeberu waliroga ardhi mkuu? Na njaa na hali ngumu lakini kila mwaka alitumia mamilion ya ela kufanya birthday yake, ila sikutegemea jipya toka kwa Mnangagwa maana alikuwa part ya serikali ya zimbabwe sasa iweje aje afanye mabadiriko wakati toka zimbabwe inapata uhuru alikuwa nayeye yuko kwenye serikali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom