International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema. Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Taarifa za wiki iliyopita zilieleza kuwa takriban wachimbaji 50 walifukiwa na kifusi baada ya mgodi mmoja wa dhahabu kuporomoka katika Mji wa Kamituga Meya wa Kamituga, Alexandre Bundya amesema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vuguvugu maarufu la upinzani wa Mali limekataa mkataba wa serikali ya mpito inayoungwa mkono na maafisa wa jeshi walio muondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mapinduzi ya kijeshi...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
British man tells African migrants to "Don't come to England" Katika video hapo chini mzungu anawaambia wahamiaji wa kiafrika kuwa wasiende Uingereza kwa kuwa wana wahamijai wa kutosha na watu...
8 Reactions
91 Replies
8K Views
Serikali ya mpito inayoliongoza Taifa la Afrika Kaskazini imefikia makubaliano ya kutenganisha utawala na dini. Hatua hii ni baada ya miongo 3 ya utawala wa kidini Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii ndiyo tofauti ya kiongozi na mtawala. Wengi wanalaumu jinsi Trump anavyoongoza wanasema kuwa ana ubaguzi. Lakini mimi naona ubaguzi wake ni wa kuwafanya wananchi wake (indigenous citizens)...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais George Weah ametangaza Ubakaji kama dharura ya kitaifa na kuagiza taratibu mpya kuchukuliwa ili kukabiliana na tatizo hilo Uamuzi huo unakuja baada ya maelfu ya Wananchi kuandamana dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii hapa chini ni statement ya Petra diamonds leo asubuhi kwenye soko la hisa London(LSE) Petra Diamonds Limited ("Petra" or the "Company") Statement regarding allegations of human rights...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwanajeshi wa majini wa Jeshi la Marekani amekuwa akiishi na Virusi vya Ukimwi kwa zaidi miongo miwili bila kujijua kutokana na kile anachodai kuwa wafanyakazi afya wa serikali hawakumpa majibu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na...
13 Reactions
81 Replies
10K Views
Serikali ya kijeshi ya mali imelazimishwa na mkataba wa kisiasa kuanzisha serikali ya mpito ya miezi 18 ambayo inaweza kupelekea kuteuliwa kwa mwanajeshi kama Rais wa mpito , licha ya mapingamizi...
2 Reactions
4 Replies
850 Views
Jimbo la Kaduna lapitisha sheria ya kuhasi wabakaji wa watoto wa chini ya miaka 14 Kumekuwa na maandamano na ghadhabu nchini Nigeria miezi ya hivi karibuni kutokana na ongezeko la vitendo vya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuwa wamemkamata jasusi wa Marekani aliyekuwa akipeleleza kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi nchini humo. Maduro aliutangazia umma wa Wavenezuela kupitia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ilikua baada ya kuskika wakipiga stori za kijiweni huku wakikosoa baadhi ya sera za sasa na kushauri mabadaliko kwenye viwanda, hawakujua mashushushu walikua wanawasikliza, baadaye walikamatwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Takriban wachimbaji 50 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya maporomoko kutokea kwenye Mgodi wa Dhahabu, Mashariki mwa nchi hiyo Mamlaka zimesema ajali hiyo imetokea kufuatia mvua kubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bunge la Peru limeanza taratibu za kumfungulia mashtaka Rais Martín Vizcarra anayetuhumiwa kujaribu kuzuia Uchunguzi wa Ufisadi Hatua hiyo imeungwa mkono kwa kura 65-36 na Wabunge wanatarajia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
The death of a homeless veteran has been branded a ‘disgrace’ after it emerged that he died after being found on the streets over Christmas. Former soldier Darren Greenfield struggled to adapt to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ubalozi wa China nchini Uingereza umeomba mtandao wa Twitter kufanyia uchunguzi akaunti ya Liu Xiaoming Balozi wa nchini humo baada kuonesha kupenda maudhui ya picha ya ngono kupitia mtandao huo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajukwaa muda huu kumbukizi shambulio baya la kigaidi ndani ya ardhi ya marekani linafanyika kuwa kuwakimbuka watu zaidi ya elfu mbili na nusuwasio na hatia waliuwawa na kundi haramu la kigaidi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kiongozi mashuhuri wa kidini wa Ukraine Patriaki Filaret, mwenye umri wa miaka 91, amepima virusi vya HIV mapema baada ya kulaumu janga la coronavirus "adhabu ya Mungu kwa ndoa ya jinsia moja"...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…