International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 75 mwaka huu; Mkutano Mkuu wa Baraza la Umoja wa Mataifa ulitakiwa kuwa mkutano mkubwa hasa kutokana na kusherehekea Jubilee hiyo ya Platinamu. Kama ilivyokuwa kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mamlaka nchini Niger zimeahirisha kufunguliwa Shule kufuatia mafuriko ambayo yamesababisha vifo zaidi ya 70 na kupelekea mamia kukosa makazi Idadi kubwa ya wahanga wa mafuriko hayo wamepatiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Islamic State (IS, formerly ISIS/ISIL) has claimed responsibility for the terrorist attack in Manchester on Monday night. According to Amaq, a news outlet linked to the terror group, an IS member...
1 Reactions
400 Replies
29K Views
Kitabu cha Rais wa zamani wa Marekani kitakuwa mitaani siku chache baada ya uchaguzi wa Novemba 3, kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Penguin Random House mchapishaji wa kitabu hicho, iliyotolewa...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Boris Johnson leo ametangaza masharti zaidi ili kudhibiti maambukizi ya COVID19. Amesema anatarajia masharti hayo yatakuwepo kwa muda wa miezi 6 Amewataka wanaoweza kufanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
November 4, 2019 Source: Roland R. Martin More info: AFRICAN UNION (AU ) FACES A BACKLASH AFTER TERMINATING AMBASSADOR'S APPOINTMENT By Bukola Adebayo of CNN The African Union is facing a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bah Ndaw aliyekuwa Waziri wa Ulinzi ameteuliwa kama Rais wa Serikali ya mpito, na Kanali Assimi Goita aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi mwezi Agosti atakuwa Makamu wa Rais Jumuiya ya Kiuchumi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
COVID-19 has rapidly affected our day to day life (health, social and economy, businesses disrupted the world trade and movements). This virus creates significant knock-on effects on the daily...
1 Reactions
0 Replies
757 Views
UPDATE: 21/08/2020 Nchi tatu za EU ambazo ni UK, France na Germany zimekataa kutii mapendekezo ya US juu ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran katika misingi ya JCPOA. Nchi hizo zina sema US hana...
12 Reactions
184 Replies
25K Views
Rais wa Belarus Alexander Lukashenko amesema kwamba wanapaswa kuandaa jeshi kwa ajili ya vita kwa sababu ya hatari zilizoelekezwa kwa nchi yake kutoka Magharibi, "Lazima tufunge mipaka na...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Mvutano kuhusu mchakato wa kugombea Urais umetokea baada ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Konan Bedie kutaka uamuzi wa Mamlaka kupingwa, kufuatia Rais Alassane Ouatarra kugombea muhula wa 3 Bedie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya miaka 54 tangu iwe huru,leo taifa la Barbados limeamua kumuondoa Malkia Elizabeth II wa UK kama kiongozi wa juu wa taifa hilo. Mataifa mengine kama Canada na Jamaica yanaendelea kumtambua...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Bunge la Japan limemthibitisha Yoshihide Suga kuwa Waziri Mkuu mpya wa Japan, akichukua nafasi ya Shinzo Abe ambaye amejiuzulu kutokana na changamoto za kiafya. Suga, mwenye umri wa miaka 71...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanakijiji ambao walikamatwa na Polisi kwa makosa ya kutokuvaa barakoa wamepewa adhabu ya kuchimba makaburi ya watu waliokufa kwa maambukizi ya CoronaVirus Adhabu hiyo imelenga kuwafanya waone...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Saudi Arabia announced Wednesday that it would allow any flights going to and from the United Arab Emirates to fly over its territory, a move that would give Israel access to some of the kingdom’s...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu salaam. Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu mtu chake zitto junior mng'ato Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Raia wa Marekani anayeshikiliwa nchini Venezuela kwa madai ya kufanya ujasusi nchini humo hakutumwa na serikali ya Marekani, taarifa ya kiongozi wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 MachiImage caption: Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 Machi Afrika Kusini, ambayo ilikuwa ni moja ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuanzia 1 October safari za kutoka na kuingia South Africa zimerejea. Pongezi kwa awamu ya tano sorry pongezi kwa Ramaphosa ====== SOUTH Africa’s borders including Beitbridge Border Post will...
1 Reactions
2 Replies
952 Views
Wanajihad kaskazini mwa Msumbiji waliviteka visiwa viwili vidogo vya bahari hindi na kutishia usafiri wa baharini katika eneo hilo ambapo mradi wa gesi yenye thamani ya mabilioni ya madola...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom