International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ugomvi wa seneta wa Minnesota Ilham Omar mwenye asili ya kisomali na raisi Trump hauishi. Juu ya kwamba huyu dada ni mwanamke lakini tabia ya kidomodomo cha Trump ndiyo inayoendeleza ugomvi huo wa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Yule msomi wa kimarekani aliyepewa sifa kubwa Sudan na kukabidhiwa serikali ya mpito baada ya kuanguka kwa Omar Albashiri na ambaye wiki kadhaa zilizopita aliponea chupuchupu kufa kwa bomu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Guinea Alpha Conde amemchochea makonde Waziri hadharani kwa kile alichodai Waziri kampiga hela za kununua barakoa. Mwingine nae kajenga daraja bovu nae kala konde, safi sana.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mustapha Adib aliyeteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo mwisho wa mwezi Agosti amejiuzulu na kusema anajivua jukumu la kuunda Serikali mpya Adib ambaye alikuwa Balozi wa Lebanon nchini Ujerumani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ilikuwa ni Oktoba 28, 1958 mjini North Carolina US ambapo watoto wa kiume wawili wenye asili ya Afrika David Simpson (8) na Hanover Thompson (9) raia wa Monroe walipewa kesi kwa kumtazama tuu...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amemteua Jaji Mhafidhina wa jimbo la Indiana Amy Coney Barrett kuchukua nafasi ya Ruth Bader Ginsburg katika mahakama kuu, akitarajiwa kuidhinishwa na Seneti. •Leo...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Chombo kimoja cha habari huko nchini Vietnam kimeripoti kukamatwa kwa maelfu ya kondomu zilizo tumika zikifanyiwa Recycling kinyume na utaratibu. Maafisa wa polisi nchini humo walifanikiwa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Palestina Riyad al-Maliki amekataa kuchukua uenyekiti wa jumuiya ya nchi za kiarabu unaozunguka ikiwa ni kupinga kitendo cha baadhi ya nchi za kiarabu kurudisha...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Taarifa ya Rais Faure Gnassingbe imeeleza kuwa Komi Selom Klassou ambaye amekuwa Waziri Mkuu tangu Juni 2015 amejiuzulu pamoja ya Serikali yake Klassou aliwasilisha maombi ya kujiuzulu kwa Rais...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Takriban wiki tano baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa madarakani Ibrahim Boubacar Keita, Rais mpya wa Mali anatarajiwa kuapishwa leo Bah Ndaw (70) ambaye alikuwa Waziri wa Ulinzi katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa mataifa mengine ulimwenguni kuiunga mkono bara la Afrika ili liweze kujenga upya uchumi ulioathirika kufuatia mlipuko wa COVID19 Akizungumza...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
EU imesema Alexander Lukashenko sio Rais wa nchi hiyo halali na uapishwaji wake wa ghafla uliofanyika jana umeenda kinyume na matakwa ya wananchi Umoja huo umesema uapisho wake umekosa uhalali wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajeshi wa korea kaskazini wameonyesha mfano wa kutovumilia yoyote anayehatalisha hali ya usalama ya taifa hilo. Wanajeshi wa kim jong un jumanne ya wiki hii wamemchoma moto na kumpiga risasi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kujibu mara "1,000’," kwa shambulio lolote la Iran. Hii ni baada ya taarifa kwamba Iran ilikuwa inapanga kumuua balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini, Lana...
8 Reactions
60 Replies
7K Views
#ALGERIA KUAGIZA SU-57 Taarifa nyepesi nyepesi zinasema Jeshi la anga nchini Algeria limesaini upya makubaliano kuagiza ndege 14 za kivita za kizazi cha tano kutoka #Urusi aina ya #Sukhoi #Su_57...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti magonjwa (CDC) barani humo, Dkt. John Nkengasong amewasifu viongozi kwa kuunga mkono jitihada za pamoja kukabiliana na mlipuko huo Amesema mikakati ya kuongeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko (66) ameapishwa rasmi kutumikia muhula wake wa 6, hafla ambayo wapinzani wamedai ni kinyume cha Sheria Hafla hiyo ambayo kwa kawaida ingetangazwa kama tukio...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ripoti za hivi karibuni zinasema Iran inajipanga kumuua Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ili kulipiza kisasi kwa kuuawa kwa Qassem Soleiman aliyekuwa Mkuu wa Vikosi vya Quds Marekani...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Kuwaua wageni nakunyang'anya mali zao sio utu.Hata Marekani imeendelezwa na wageni Fanya hivi fanya kampeni ya kuchunguza wageni wanaoishi kinyume na sheria warudishe kwao hata nchini Tanzania...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mfanyabiashara wa zamani, Ren Zhiqiang ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa Rais wa China, Xi Jinping amehukumiwa kifungo cha miaka 18 kwa tuhuma za ufisadi Mahakama Mjini Beijing imemkuta na hatia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…