Serikali ya Togo yajiuzulu

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Taarifa ya Rais Faure Gnassingbe imeeleza kuwa Komi Selom Klassou ambaye amekuwa Waziri Mkuu tangu Juni 2015 amejiuzulu pamoja ya Serikali yake

Klassou aliwasilisha maombi ya kujiuzulu kwa Rais Gnassingbe ambaye amempongeza yeye na Serikali kwa kazi ambayo wamefanya wakiwa madarakani

Kumekuwa na matarajio ya mabadiliko katika Serikali baada ya Rais Gnassingbe kushinda Uchaguzi mapema mwaka huu, akiongeza utawala wa familia yake ulioanza tangu 1967

Haijafahamika ni lini Waziri Mkuu mpya atateuliwa

=====

Togolese Prime Minister Komi Selom Klassou and his government tendered their resignation on Friday, the presidency said in a statement, congratulating the Cabinet for its work in office.

A governmental change has been anticipated since President Faure Gnassingbe won re-election in March, extending his 15-year-old rule and a family dynasty that began when his father took power in a 1967 coup.

The presidency did not say when a new prime minister would be appointed.

Ahead of the February election, a fractured opposition struggled to launch a concerted campaign to unseat Gnassingbe despite widespread disaffection with his leadership of the small West African country of 8 million people.

Togo's prime minister and government resign, presidency says
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom