Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,507
- 7,475
#ALGERIA KUAGIZA SU-57
Taarifa nyepesi nyepesi zinasema Jeshi la anga nchini Algeria limesaini upya makubaliano kuagiza ndege 14 za kivita za kizazi cha tano kutoka #Urusi aina ya #Sukhoi #Su_57 (#Felon)
Taarifa zaidi zinasema dili hilo linaenda sambamba na kuagiza ndege nyingine za kivita za kizazi cha nne aina ya #Su_34 na #Su_35 pamoja na silaha zitumikazo katika kila ndege husika.
Hivi karibuni Urusi imeandaa maonesho ya kimataifa ya ndege za kijeshi katika kituo cha kijeshi cha #kubinka.
Katika maonesho hayo kwa mara ya kwanza itaoneshwa #Su57E (Export_version) ambayo ni toleo maalumu kwa kuuzwa nje ya nchi (foreign military sale)
Ndege nyingine za kivita zitakazokuwepo katika maonesho hayo ni kama #Mig35, #Ka52 na #Mi28N
Imeripoti
#scramblemagazine/mena
Na Aviation Media Tz.
Wakati Algeria anachukua full squadron ya Fifth generation ya Jetfighters nchi zote za kusini mwa jangwa la Sahara(except scanty) tupo tunatumia ndege za miaka ya zamani sana enzi za Vita ya baridi huko